2015 Chadema Isisimamishe Mgombea Urais

Status
Not open for further replies.

kwenye red hapo we mwenyewe umekubali kiaina
 


Sijapata kuona KILAZA kama wewe!!!!
inaonyesha ni jisi gani ulivyo na ugali kichwani badala ya ubongo
 




Nazani ulitakiwa kuwe Mirembe!!!!! This rubish of the century i think.
 
Hahahahaa na bado utakuja na manenomaneno lakina masalia tumewakuzulia mbali, na bado tutashind 2015..hahaha a a najua inakera ila meza sie ndie chadema, atupendi ujinga. Hahaa
 
hata tajili anaefilisika hajui kama amafilisika wanaomwona ndo wanajua
 
Kama umefika hata darasa la tano ungekuwa na Akili,nadhani hata hapo kwa ulichoandika hujafika.
 
he.. na wewe ukitumwa kitu kiedit kabla ujaja mbiombio ka zuzu..mwisho wa ciku waonekana we ndo unatumia masaburi kufikiri kumbe aliokutuma ndo mjinga zaidi yako.
 
Mkuu Iron Finger, kutokana na hiyo post yako ni dhahiri wewe ni mmojawapo wa masalia na siajabu umesha shughulikiwa, otherwise subiri tutakufikia. Inaonyesha dhahiri Dr. Slaa anawanyima usingizi, hadi kufika 2015 mtakuwa wengi wenu mna pressure na stroke za kutosha. Baada ya propaganda zenu kushindwa mmeibuka na ushauri wa ki-pumbavu. Msiumize kichwa subirini majibu 2015, na mjiandae psychologically kuwa wapinzani.

Ni ukweli usio pingika hata waliokutuma wameshtushwa sana na post yako, hivyo basi wanakuita Lumumba ukachukue nauli urudi kijijini kwenu ukalime kwa sasa mvua zinanyesha sana, kwani kazi waliyo kutuma imekushinda.
 
Kama CCM ilivyokuwa na mtaji mkubwa Arumeru
 

nakupongezaa kwa kufikiriii na matakooo ongezaa juhudiii kwanii ndio kazii yakooo utalipwaa unachoongeaaa
 
Una hakika na unachokisema. Fanya utafiti kabla ya kufanya majumlisho!!
 
Watu wengi humu wanapenda mabadiliko na pia wanapenda chadema, ukweli utatuweka huru, chadema hawajaingia vijijini na kueneza sera zao, mfano sehemu kubwa ya mikoa ya Dodoma,iringa,rukwa,singida na tabora vijijini hawajafikiwa! Na mara zote ccm hushinda kwa kishindo vijijini kwa sababu huko wengi hawana elimu ya uraia. Pili chadema ingeanzisha media zake ingeweza sambaza elimu ya uraia kirahisi. Kushinda urais kutegemea mijini tu ni ndoto,kwa kiasi kikubwa naunga mkono hoja,vinginevyo wasikae ofisini kuanzia sasa!
 
Hii ni dhahiri sasa magamba mmeishiwa sera mnakuwa kama fisi anayemfuatilia Mtu adondoshe mkono. Jiandaeni tu kisaikolojia kuwa wapinzani kuliko kujisumbua wakati mmeshindwa kuwatumikia watanzania.
 
Huu ushauri utakuwa wa maana sana kama utampatia Nyanya yako!
 
Huu ushauri utakuwa wa maana sana kama utampatia Nyanya yako!
mbona unajiamini sana mkuu, ukweli cdm haijapenya maeneo mengi vijijini ambako ccm wanawarubuni wananchi kwa sababu ya kukosa elimu ya uraia,maeneo kama dodoma,tabora na hata singida.
 
Ni kweli ili wapambane na ubunge...hailipi ukiwa na raisi na wabunge 30 katika bunge la wabunge 300.
 
mtoa mada ni agent wa ccm.hivi mkijua kusoma na kuandika na nyie lazima mchangie mawazo? JF siku hizi imeingiliwa sana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…