Amiliki
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,085
- 1,005
Kamanda Polisi Temeke ataka wauza madawa ya kulevya wafichuliwe..
Source: Nipashe.
Huu ni Utani mwingine kwani Polisi wanawajua hawa wauza madawa karibu wote, lakini wanapatwa na kigugumizi kuwakamata kwa kuwa kuna Vigogo nyuma ya biashara hiyo na sehemu nyingine polisi wanauhakika wa kwenda kuchukua posho ya kila siku kutoka kwa wauzaji wadogo wadogo kama ilivyo pale Ilala ambapo imefikia mpaka Polisi kuwapigia simu wakati wanakwenda kuwakamata maana wakienda wanne, pesa wanayopewa inabidi wagawane, sasa ikitokea mmoja wao akawastua wakajificha, baadae huyo aliyewatonya hupita na kupewa kiasi kidogo kuliko ambacho wangewapa wakiwa wengi, na kwasababu anapewa peke yake, kinakuwa kikubwa kuliko wangegawana.
Huo ndio mchezo unaoendelea kati ya polisi na wauza madawa ya kulevya.