2013 Nikwa Neema tuu

2013 Nikwa Neema tuu

aminangalo

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
974
Reaction score
190
Kuna mwimbaji mmoja wa injili mwasabweti kaimba ni kwa Neema tuu kila ninapoenda najisikia kumsukuru Mungu kwa Neema yake

Siyo kwa nguvu wala kwa uwezo bali ni kwa Neema tuuu
 
  • Thanks
Reactions: ram
Neema ya BWANA izidi kuwa nasi 2014.
Amina.
 
Hakika ni kwa neema na rehema tu
Tunaamini neema na rehema zitaendelea kuambatana nasi hata kwa mwaka 2014
Amina......!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom