2013 CCM itakuwa na mgawanyiko

hakika anguko kuu la C.C.M linakuja,kuanzia 2015 magamba watalia na kusaga meno
 
Huu mradi una harufu ya ufisadi pasee.....ndio deal nyingine ya mafisadi wa CCM kuchota pesa kama walivyofanya EPA...Richmond ili wachukue nchi 2015.CHADEMA fuatilieni hili swala la bomba la GESI maana mwenyezi mungu ameshatustua inderectly via wananchi wa Mtwara kuwa mradi huu si bure....kwa nini viongozi wa CCM wavalie njuga kuwa una manufaa kwa taifa?....kwa nini kila kitu Dar-Es-Salaam?...na kwa nini miradi kama hiyo isihamishiwe huko kwenye source ya rasilimali hizo so ikawavutia wananchi kuhamia huko Mtwara?....hivyo wananchi wakakimbia D'salaam na kuiacha ipumue kwa misongomano?....Ina maana gani Rais kututangazia kuwa watanzania tuko 45 milioni?....Nusu ya hawa tubanane dsm/Bagamoyo/Kigamboni?....Kwani ikijengwa Mtwara na kuwa jiji la kisasa kuna dhambi?.....Tuko kwenye mfumo wa Digitali hivyo tafakari.
 
Mtoa mada sikupi heko wala nini! We mtu gani mgongano wa mawazo uone sehemu ya kupandia. Halafu naona unakigumumizi cha kufikiri na kuombea mabaya ccm tu. Mara ngapi chadema wamepishana kimtazamo na hisia hadharni na msiiweke kama hoja hapa ukumbini. Acheni unafiki na upotoshaji kwa jamii bwana.inaboa
 

ccm hawana alternative coz tayari viongozi wake walishajenga mitambo ya kufua umeme wa dharura huko dsm na kuwakamua watanzania kwa miongo miwili kupitia capacity charge na gharama za mafuta. Ndio maana Prof Muhongo anadai gesi iligunduliwa Lindi na Mtwara 1974 lakini miaka 40 baadaye bado mitambo ya kuzalisha umeme haijajegwa huko. Ndio maprofesa wetu hao!!!!
 

wasira aliposema CDM itasambaratika ndani ya mwaka mmoja yalikuwa maneno mazuri
 
Ramli kumbe zipo toka kitambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…