2012 African Cup of Nations.

Zambia gets two chances in row, they play them lousy.
No goal anyway!
 
Reinhard is a bit panic here by his player...
He looks a bit crazy!
 
Senegal with their last attack, Mweene saves the danger form em'...
 
Full time here in Bata.
Score stands,
Senegal 1 - 2 Zambia
Zambia takes three points, and they are in the top of Group A!
 
siku hizi mpira hauchezewi majina, watoto wa wazambia aminia babaake, :poa
 
hatimaye timu ya vijana wadogo(zambia)imefanya kweli!bila kuogopa majina makubwa kama,ba,niang wala demba sice.hongera sana,tanzania tujifunze kuandaa vijana wadogo sio kila cku hayo masimbe(mazee)tu!hatutafika.
 
Jambo linalinishangaza hakuna TV station ya Tanzania iliyonunua haki ya kuonesha michuano hii; binafsi naangalia kupitia KBC Kenya...sasa sijui ni hali ya uchumi hapa kwetu ama walitegeana ama vp

Hao subiri wakununulie series zao za Oshin, na ushuzi mwingine unaofanana na huo
 
Senegal ni majina tu hawana lolote vijana wadogo wa zambia wamewakimbiza kinoma naamini leo hii wachezaji wote wa Senegal watalala na diclopaer kumikumi
 
Jambo linalinishangaza hakuna TV station ya Tanzania iliyonunua haki ya kuonesha michuano hii; binafsi naangalia kupitia KBC Kenya...sasa sijui ni hali ya uchumi hapa kwetu ama walitegeana ama vp

kisa tz haikufuzu..
 
Jambo linalinishangaza hakuna TV station ya Tanzania iliyonunua haki ya kuonesha michuano hii; binafsi naangalia kupitia KBC Kenya...sasa sijui ni hali ya uchumi hapa kwetu ama walitegeana ama vp

We are lacking strategists in our country!
 
Niliumia sana baad aya kuona nchi ya Tanzania imeshindwa kuonyesha hata mechi ya ufunguzi wa kombe la Afrika, hivi sisi kweli tunaweza nini? Kenya na Uganda wanaonyesha maana wanajua faida zake kuwa ni pamoja na kuwajengea vijana wetu hamu na morale ya kuipenda michezo, ni mahali pa kuitangaza Tanzania badala ya kutumia billions kwa kuweka matangazo CNN na TV za nje ambazo sioni wala siamini kama inasaidia lolote.Nilishangaa zaidi kukuta TBC2 ambayo kabla ya kuzinduliwa kipindi kile tuliambiwa itahusika na ishu kama hizi zaidi lakini badal a yake nikakuta KIDUKU, yaani kweli TBC nzima amekosekana mwenye akili hata mmoja ya ku-advice juu ya hili? Au kwasababu wana mkataba na hawa Wachin sasa wanataka watu wanunue Startimes? Hii haikubaliki, ni lazima tujifunze kutumia fursa kama hii kuwajengea vijana wetu uwezo wa kimawzo kuipenda michezo kama sehemu ya ajira. Jumapili Njema
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Back
Top Bottom