marisi schwein
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 1,049
- 3,232
- Thread starter
-
- #21
Mkuu sidhani kama gari ya 2010 inakuwa imechoka kihivo kwa mazingira yetu ya ‘Kibongobongo’!. Kuna watu kibao naona wanenunua Mercedes w203 (za mwaka 2006 kushuka chini) na bado wanavimba na kutimua vumbi road. Hata BMW nyingi zinazoingia nchini kwa sasa ni za mwaka 2005-2006Najua, nilichomaanisha ni kwamba kununua Bimmer au Mercedes ambayo karibia kila kitu kimeshachoka itakuchukuwa gharama kubwa sana mpaka kuja kuiweka sawa na kuenjoy Bimmer ambapo hiyo gharama ni bora utafute gari za kawaida ( ambazo hazing majina) lkn mpya kidogo ambapo utaitumia kwa muda mrefu zaidi, kununua Mercedes au Bimmer iliyokwishachoka ni kupoteza hela na siyo clever kwani aidha utaipaki kwa kushindwa kuirepair au itakubidi utafute gari nyingine ya pembeni kama toyota ya kutumia kila siku, sasa ukijumlisha hizo stress zote ni bora ujinyime ununue gari ( siyo brand name lkn nzuri) ya miaka max 5 lkn utaishi nayo bila ya stress, …
Nimeshaweka mkuuWeka picha mkuu
Indirectly ananiambia nitafute c300 AMG au E300 AMG 😅Hapo sasa unamuambia atoke kwenye C200 kijanja.
Maana kwa mwaka tajwa C200 inakuwa na Cc1796.
Mkuu sidhani kama gari ya 2010 inakuwa imechoka kihivo kwa mazingira ya kibongo! Kuna watu kibao naona wanenunua Mercedes w203 (za mwaka 2006 kushuka chini) na bado wanavimba na kutimua vumbi road. Hata BMW nyingi zinazoingia nchini kwa sasa ni za mwaka 2005-2006
BMW 328 itamfaa? Au nayo magumashi?Chukua Benz..
C200 Kompressor imekuwa ikitumia 4 cylinders muda mrefu.. Engine itakuwa reliable..
320i ilikuwa ni 6 cylinders then wakahamia kwenye 4 cylinders.. New technology.. Engine ya majaribio.. Probability ya kuwa na matatizo ni kubwa..!
Kama unatafuta Bimmer achana kabisa na 4 cylinders.. Angalia za 6 cylinders.. Ziwe na cc angalau 2500..!
4 cylinders ni kama unataka logo ya BMW ila kwa pleasure tafuta 6 au 8 3000cc kwenda juu..!
Bado tupo nyuma mno sometimes nikiangalia jinsi wenzetu Huko dunia ya Kwanza wanavyoishi nahisi bado tupo zama za kinjeketile na mkwawaTupo matakoni mwa dunia. Tunatumia magari ambayo wemzeyu hawatamani kabisa kuyaona kwenye mitaa yao
Ni kweli crown ni ndege ya chini,hakuna benzi wala bmw inaifikia kwa comfotability,ukimpa lift mtu hasa hawa dada zetu huwa hawataki kushukaHii kusema comfortability ya Mercie haiifikii Crown unatafuta ugomvi na Wajerumani halafu mimi mwenyewe sijakuelewa hapo labda unieleweshe zaidi
Hiyo nzuri.. UhakikaBMW 328 itamfaa? Au nayo magumashi?
N46 ni nzuriHiyo BMW 320i kwa mwaka huo 2010 ina N43 engine.
Una uelewa na hiyo engine? Acha kumtumbukiza mwenzio kwenye janga.
Kwa mwaka 2010 BMW ya kuchukua ni 323i au 335i(kama ana pesa ya wese na anataka kunyanyasa watu barabarani).BMW 328 itamfaa? Au nayo magumashi?
Honest opinion.Bro number’s don’t lie
Go for Mercie
Good Fuel economy,performance ni ya kawaida kiukweli japo ina top 260km/hr labda usichukue hizi cc1780
Comfotability inategemea una compare na gari ipi lkn haiifiki kwa gari kama crown.
All in all you buy mercides you buy pride
Kila utapoonekana wanajua una pesa[emoji28]
Maintenance ni expensive kiasi
Hizi C200 kompressor hazina magonjwa mengi ndo maana hutasikia kelele humu za wamiliki wa Benz
Ni gari reliable sana na ngumu mno.umeme kiasi
ONYO:kama hukai mjini kene barabara na mafundi wa uhakika achana nayo mkuu
328i kwa e90 ni kichomi. Ina N53 ambayo ni kama N43 iliyoongezwa cylinders mbili.Hiyo nzuri.. Uhakika
Ndio ila ndio mwisho wake 2007N46 ni nzuri
Mjerumani hana urafiki na maskini.Sio Siri BMW 320i zipo nyingi Sana sikuhizi Hata Mimi unanipa mzuka Sana wa kujaribu kuinunua ...
Jamaa yangu kariakoo ameuza Toyota crown na amenunua BMW 320 huwa anaisifia Sana gari yake dhidi ya crown 👑 hata Mimi nakushauri nunua fasta hiyo BMW.
Baada ya miaka 5 mbele wengi tutaingia Tu Kwa mjerumani
Ahhh kumbe.. Nilijua ni N52B30..!328i kwa e90 ni kichomi. Ina N53 ambayo ni kama N43 iliyoongezwa cylinders mbili.
Nox sensor, Injector nozzle, coils packs, HPFP, Timing chain, Oil pressure relief valve, na mengine mengi. Hayo yote yakisumbua kwa pamoja lazima ufe kwa stroke.
Hayo matatizo yote yanatokea frequently.
Chukua Mercedes, engine yeyote ile kulingana na budget yako.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba maoni yenu wadau ni ipi gari kali zaidi kati ya Mercedes C200 Kompressor vs BMW 320i zote za 2010 in terms of reliability, performance, comfortability, prestige, driving experience n.k?View attachment 2449164View attachment 2449165
Engines bora za BMW zinaanzia B58 kwenda mbele.328i kwa e90 ni kichomi. Ina N53 ambayo ni kama N43 iliyoongezwa cylinders mbili.
Nox sensor, Injector nozzle, coils packs, HPFP, Timing chain, Oil pressure relief valve, na mengine mengi. Hayo yote yakisumbua kwa pamoja lazima ufe kwa stroke.
Hayo matatizo yote yanatokea frequently.
Wewe jamaa upo serious? Unavyosema hakuna Benz wala BMW umeunganisha na S Class na 7 series humo ndani sio? Hebu kuwa serious usianze kufananisha wajerumani na crown ndgNi kweli crown ni ndege ya chini,hakuna benzi wala bmw inaifikia kwa comfotability,ukimpa lift mtu hasa hawa dada zetu huwa hawataki kushuka