Car4Sale 2007 Toyota Rush

MAGARI7

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
2,401
1,299
Make : Toyota

Model : Rush

Mileage : 84,684km

Engine size: 1,500cc

Gasoline : Petrol

Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )

Transmission : Automatic

M/Year : 2007

Doors : 5

Seats : 6

FEATURES :

Air Conditioner
Power steering
Power Windows
Alloy wheels
Leather seats
CD player
Sunroof
Airbag
Radio
Dvd
ABS
Tv

Bei : Tshs 18,200,000

imejumuisha :

Ushuru
Marine insurance

registration
Bima ya barabarani

ecarstanzania@gmail.com

Karibu sana!!2a3fe6c2b31975dde978609eea000718.jpg
0e66f59b0ea7010b772c8aececf10c7c.jpg
 
Haja kadude nimetokea kukakubali sana yan, naamin nitakamiliki mwaka huu japo mm nahitaj kale ambako ni 4wheel drive nisipate shida kupanda milima ya upareni wakati Wa Xmas. Ila being zake zimesimama sana aisee
 
Usijali, ukiwa tayari just let Me know.

Nitakuuzia kwa discount!
 
Usijali, ukiwa tayari just let Me know.

Nitakuuzia kwa discount!
Unaweza kunipa bei ya Kale ambako ni 4wheel drive Mkuu na unalipia ikifika au unaabza ikiwa bado Japan?
 
Unaweza kunipa bei ya Kale ambako ni 4wheel drive Mkuu na unalipia ikifika au unaabza ikiwa bado Japan?
Payments terms ni awamu mbili. Nusu halafu. Nusu baada ya week nne
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom