2007 Toyota Rav4

2007 Toyota Rav4

Status
Not open for further replies.
ya 2005 kwa 22m unapata hw cmes imepanda mpk 45m kwa miaka miwili tu?au ina wings?

Halafu bei kubwa wakati gari yenyewe ina cc zaidi ya 2000! Cc zote hizo za nini? Kwa gari size ya RAV4-SUV, cc pungufu ya 2000 ndo mpango mzima! Najua hii itakuwa na nguvu kubwa na speed za kutosha, lakini hata zile RAV4 zenye Cc1800-2000 vvti engine za mwaka huo huo ziko poa sana!
 
aliesema hakuna rav4 ya $9000 ya 2007 nimetuma link hapo.hyo ni $8400
 
asa $9000 jumlisha hyo 12.5million ya ushuru inafika 40 million?
 
and price ni ngapi?

That's for you to find out. Ngoja nkusaidie lakini. Be forward ndo wanauza magari bei rahisi zaidi wanayo moja tu kwa sasa ya nwaka 2013 ambayo wanaiuza $19000 (32m) na kodi yake itakua 33m. Jumlisha hapo ni 65m bado kuna registration, bandari, usumbufu mwingine plus faida ya muuzaji unategemea itauzwaje?

Tufanye wewe umeinvest hapo 70m yako utakubali faida ya 5m? Kumbuka una mwezi mzima wa kungoja hio gari na risk kibao.

Naomba uwaambie na wenzio pls sio mnaongea tu
 
watu bado wanafikiri gari ni kitu adimu wakati karne hii gari second hand ni cheap zaidi ya sana,
ya 2005 kwa 22m unapata hw cmes imepanda mpk 45m kwa miaka miwili tu?au ina wings?
ila Rav 4 ya 2007 sio bei rahisi sana kama mnavyofkiria. Kwa mfano hii ya beforward ya CIF Dar $11741 ambayo ~ 20,000,000/= Tsh (pamoja na hela ya kutuma TT)..Ushuru ~ Tsh 11,900,000/= ..Kwahiyo Cost + Duty = Tsh 31,900,000/=, Bado Port Charges, Shipping Line, Agent fee, Fire, Insurance....!! Tuseme ukishalipa cost zote muhimu jumla itakucost around 33 Million..Kwahiyo hizi Rav 4 si mchezo..

x6nexs.jpg

30jjk7t.jpg
 
2008 toyota rav4
 

Attachments

  • 1407131004508.jpg
    1407131004508.jpg
    47.5 KB · Views: 188
Jamani acheni ujuaji mfanye research. Wenzenu wanaacha magari bandarin kila siku yanapigwa minada sababu ya ujuaji. Rav4 ya 2012 kodi peke yake ni 24.5m.

Naingia mtandaoni sasa hivi: be foward,japanesevehicles.com, tradecarview na SBT, ili nipate price margin based on F.O.B na au CIF Price!
 
ila Rav 4 ya 2007 sio bei rahisi sana kama mnavyofkiria. Kwa mfano hii ya beforward ya CIF Dar $11741 ambayo ~ 20,000,000/= Tsh (pamoja na hela ya kutuma TT)..Ushuru ~ Tsh 11,900,000/= ..Kwahiyo Cost + Duty = Tsh 31,900,000/=, Bado Port Charges, Shipping Line, Agent fee, Fire, Insurance....!! Tuseme ukishalipa cost zote muhimu jumla itakucost around 33 Million..Kwahiyo hizi Rav 4 si mchezo..

je,inafika 45MILLION?
 
Mbona hueleweki mara unatuma link ya $11000 then unatuma licha ya $8000.

Naomba link ya Rav4 yenye specification za gari yangu pls. Usisahau rangi Black

link nlikosea thats why ikabidi ntume screenshot after realising that.ngoja nkutumie hyo ya black
 
ila Rav 4 ya 2007 sio bei rahisi sana kama mnavyofkiria. Kwa mfano hii ya beforward ya CIF Dar $11741 ambayo ~ 20,000,000/= Tsh (pamoja na hela ya kutuma TT)..Ushuru ~ Tsh 11,900,000/= ..Kwahiyo Cost + Duty = Tsh 31,900,000/=, Bado Port Charges, Shipping Line, Agent fee, Fire, Insurance....!! Tuseme ukishalipa cost zote muhimu jumla itakucost around 33 Million..Kwahiyo hizi Rav 4 si mchezo..

x6nexs.jpg

30jjk7t.jpg

Asante. Ila tu umetumia version 18 ya TRA calculator, ukitumia the latest version (version 19) kodi ni 12.5m
 
Asante. Ila tu umetumia version 18 ya TRA calculator, ukitumia the latest version (version 19) kodi ni 12.5m
nimetumia version 19, nafkiri tofauti ipo kwenye exchange rate pale nimeweka 1662 labda kama ipo juu zaidi..
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom