ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
watu bado wanafikiri gari ni kitu adimu wakati karne hii gari second hand ni cheap zaidi ya sana,Umekosea kuandika hicho kiasi cha pesa au mie ndio sioni vizuri?
ya 2005 kwa 22m unapata hw cmes imepanda mpk 45m kwa miaka miwili tu?au ina wings?
watu bado wanafikiri gari ni kitu adimu wakati karne hii gari second hand ni cheap zaidi ya sana,
ya 2005 kwa 22m unapata hw cmes imepanda mpk 45m kwa miaka miwili tu?au ina wings?
Anafikiri bado Tanzania ya 1991. Mwache atapiga nalo picha likifika.Hahahaha Mil45 Rav4 hii wakati ukiagiza Be Forward unapata kwa $9000? That's too much ndg
Hahahaha Mil45 Rav4 hii wakati ukiagiza Be Forward unapata kwa $9000? That's too much ndg
heheeee ni katika kujadili tu mkuu wala mi sina ugomvi nawewe,sasa hyo range ya 23m imetokea wapi?ATLEAST It cud ve been 30 sawa em angalia bei ya rav 4 ya 1999 na ya 2005 ,sidhani kama zimeachana kwa zaidi ya 15m-18m, sasa kitu cha miaka miwili kirange for more thn 20m?sjui lakn mkuu mi najrb kucompare tu kwa hichi kiakili finyu nilichojaliwa na Sir God naona naguna tu anyway uswaze brah gari itauzika in shaa Allah ukishusha bei pia watannua tu hhehehehhe dizain umepanic Blaza!!!!!!!!!Mujhe maaf kardo
Hapo nanunua rangerover used
Hahahaha Mil45 Rav4 hii wakati ukiagiza Be Forward unapata kwa $9000? That's too much ndg
Hahaaaa...namasteee, TIIKE.heheeee ni katika kujadili tu mkuu wala mi sina ugomvi nawewe,sasa hyo range ya 23m imetokea wapi?ATLEAST It cud ve been 30 sawa em angalia bei ya rav 4 ya 1999 na ya 2005 ,sidhani kama zimeachana kwa zaidi ya 15m-18m, sasa kitu cha miaka miwili kirange for more thn 20m?sjui lakn mkuu mi najrb kucompare tu kwa hichi kiakili finyu nilichojaliwa na Sir God naona naguna tu anyway uswaze brah gari itauzika in shaa Allah ukishusha bei pia watannua tu hhehehehhe dizain umepanic Blaza!!!!!!!!!Mujhe maaf kardo
rav4 za 2012-current ndiyo 45 million,hyo unayouza its worth a little less than that.or maybe the lesser mileage increases value to that amount??
Jamani acheni ujuaji mfanye research. Wenzenu wanaacha magari bandarin kila siku yanapigwa minada sababu ya ujuaji. Rav4 ya 2012 kodi peke yake ni 24.5m.