Habari zenu wana JF, Toyota Coaster ya mwaka 2007 inauzwa.
Imported from Dubai and first registered in Tanzania in 18/01/2010. HZB Engine with 4163 cc.
Gari inatembea na inatumika kama daladala Makumbusho-Kivukoni, Haina tatizo lolote.
Bei ni 25,000,000/= inapungua kidogo
Dalali hatakiwi
Mawasiliano ni 0713662251
View attachment 61351 View attachment 61352 View attachment 61353 View attachment 61354
kudadeki wabongo wabishi ,,,,sorrry lakini.....nyie ndio wale mnawezaa kataa wazazi kwa ubish usio na maslahiHilo basi haliwezi kuwa la mwaka 2007 angalia vizuri mwaka na urekebishe!
kudadeki wabongo wabishi ,,,,sorrry lakini.....nyie ndio wale mnawezaa kataa wazazi kwa ubish usio na maslahi
kudadeki wabongo wabishi ,,,,sorrry lakini.....nyie ndio wale mnawezaa kataa wazazi kwa ubish usio na maslahi
Acha ubishi kwenye biashara. Hata wewe unajua hii si ya 2007 - labda useme imeingia 2007. Hii ni shepu ya zamani
sasa mapovu ya nini fika bei nyie ndo wale wabongo mnajadili maisha ya watu wakati wewe ata mwanao akujui/ajui lf style yako
Wakuu haina haja ya kubishana sana, hii gari ni ya mwaka 2007 sema nimesahau kupiga picha kadi yake, nitaiweka hapa nikate mzizi wa fitna.
Sasa kwa mfano ukiambiwa hii raum hapa ni ya 2003 utabisha pia? Model za kuanzia 2003 za raum si mnazijua, sasa hii imekuaje?
mwaka wa gari una umuhimu gani kwenye hii gari ambayo tayari ipo nchini na kwa muonekano bado ni nzuri/nzima? Kwa maana nyingine mwaka iliyotengenezwa hauna effect kwenye bei au sijui dumping fee au kitu kingine chochote.Wakuu haina haja ya kubishana sana, hii gari ni ya mwaka 2007 sema nimesahau kupiga picha kadi yake, nitaiweka hapa nikate mzizi wa fitna.
Sasa kwa mfano ukiambiwa hii raum hapa ni ya 2003 utabisha pia? Model za kuanzia 2003 za raum si mnazijua, sasa hii imekuaje?
hapa swala ni kwamba ameleta viambatanisho ambavyo SIO vya ukweli, kama unaona hilo halina tatizo hayo ni maoni yako yanaheshimika! lakini kwangu mimi ukweli ni muhimu katika kila kitu, sasa kama mwaka umedanganywa, ameishia hapo tu au yapo mengine zaidi?mwaka wa gari una umuhimu gani kwenye hii gari ambayo tayari ipo nchini na kwa muonekano bado ni nzuri/nzima? Kwa maana nyingine mwaka iliyotengenezwa hauna effect kwenye bei au sijui dumping fee au kitu kingine chochote.
Wakuu haina haja ya kubishana sana, hii gari ni ya mwaka 2007 sema nimesahau kupiga picha kadi yake, nitaiweka hapa nikate mzizi wa fitna.
Sasa kwa mfano ukiambiwa hii raum hapa ni ya 2003 utabisha pia? Model za kuanzia 2003 za raum si mnazijua, sasa hii imekuaje?
hapa swala ni kwamba ameleta viambatanisho ambavyo SIO vya ukweli, kama unaona hilo halina tatizo hayo ni maoni yako yanaheshimika! lakini kwangu mimi ukweli ni muhimu katika kila kitu, sasa kama mwaka umedanganywa, ameishia hapo tu au yapo mengine zaidi?
Ni kama mtu unataka kuoa au kuolewa unakujagundua kumbe mchumba wako ana mtoto lakini alikuficha, kwa kawaida nitajiuliza huyu kanificha hili tu au kuna mengine!
Ingekuwa na tatizo ungesema?????