Enzi hizo Kuna majamaa tulisoma nao wametutangulia madarasa kwanza picha inaanza shule ya msingi wanavaa bukta alaf miguu imejaa manyoya kishenzi, darasan wanakaa nyuma ticha akiuliza swali wananuna ili wasisimamishwe kujibu
Hata wakifanya makosa walim wanaogopa kuwachapa inabidi waitishwe kikao Kama vile walim wanaongea na wazazi kumbe wanafunzi