Namaliza form four halafu nikamtia mimba frola akiwa form two Sasa hivi ni madamee anafundisha shule Moja ila amekuwa feminist na mtoto wetu now yupo form one.
Wewe Johnnie Walker wewe hebu acha uongo, midevu ile umenyoa miaka zaidi hata 7. Leo useme umezaliwa 2006?
Kwa uongo huu nimeghairi, kukupa ile vocha ya buku 10...
Mimi ndio nilikuwa nazaliwa mama yangu Marcy muulize atakwambia mpaka leo nipo kwake ananifukuza nikapange lakin baba yangu anasema bado ni dogo ππ