Top Thinker
Senior Member
- Sep 8, 2011
- 183
- 125
Mbona unanunua ghali katika dunia hii ya utandawazi?
Kamata hii: Used TOYOTA VITZ for Sale | Japanese Used Cars stock list | BE FORWARD
Naomba ufafanuzi juu ya ubora wa hilo gari. kimeo ni vitz new model au hata ya zamani?hiyo gari ni kimeo balaa..muulize fundi wako gari ya piston tatu akuambie shughuli yake