ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
- Thread starter
- #21
Asante mkuu
Hiyo Gari kimeo kwa wanaokaa mabondeni kama mimi, zaidi ni kuwa taa zake zikishapigwa na jua na maji ya mvua kidogo tu zinapauka balaa yaani ni tabu. Halafu ukiinunua hii hata ukitaka kuja kuiuza hupati wateja. USHAURI ukitaka kununua gari tafuta SALOON CAR TOYOTA BRAND (COROLLA, CARINA) engine isizidi 1500cc ndo utaenjoy
Porte gari za kuendea sokoniKweli ndugu hizo ziko vizur sanaaaa
Ngoja nijichange nikununue wwHiyo si gari ya kununua asilani.bora ujichnge utafute rav 4 au saloon car kama corolla carina.
Sidhani kama kulikuwa na haja ya kuyasema haya, ilikuwa vizuri zaidi kupita kimya tu!!Hiyo Gari kimeo kwa wanaokaa mabondeni kama mimi, zaidi ni kuwa taa zake zikishapigwa na jua na maji ya mvua kidogo tu zinapauka balaa yaani ni tabu. Halafu ukiinunua hii hata ukitaka kuja kuiuza hupati wateja. USHAURI ukitaka kununua gari tafuta SALOON CAR TOYOTA BRAND (COROLLA, CARINA) engine isizidi 1500cc ndo utaenjoy
Ungepita kimya kulikuwa na tatizo!Hiyo si gari ya kununua asilani.bora ujichnge utafute rav 4 au saloon car kama corolla carina.