sinafungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2010
- 1,527
- 865
Tanzania bara kura wamepiga 25/10/2015 na wenzetu visiwani wamepiga kura 20/3/2016 tofauti ya miezi takribani minne hivi, je kwa mujibu wa katiba ya viziwani ili kutimiza miaka mitano ya uongozi (kifungu kilichoshikiliwa kama utetezi baada ya kufuta uchaguzi wa awali) uchaguzi utakuwaje .........?