2001 Harrier & 2002 Premio

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
784
Reaction score
327
Habari,

Zinafika Bongo week ya kwanza ya September-14.

Tuwasiliane kwa Inbox kama unahitaji kununua au kupata maelezo zaidi. Bei zina maongezi

Maelezo ya gari:

Kwa makubaliano kuhusu bei tafadhali niandikie PM

Toyota Harrier
Mwaka: 2001
Injini: 2400cc, VVTi, 4-Cylinder
Maileji: 120,000km
Gia: Automatic
Rangi: Silver
Bei: 24m

Toyota Premio
Mwaka: 2002
Injini: 1700cc, VVTi
Maileji: 43,700km
Gia: Automatic
Rangi: Gray
Bei: 14.5m

Attachments

  • BF276137_7.jpg
    41.4 KB · Views: 543
  • BF276137_3.jpg
    39.2 KB · Views: 548
  • BF276137_8.jpg
    41.1 KB · Views: 538

Mkuu ukiogopa mjadala wa bei hutofanya biashara,
 
mkuu ukiogopa mjadala wa bei hutofanya biashara,

Linakua tatizo unapofanya mjadala na mtu ambae hana nia ya kununua bali kuonesha ujuzi wake. Imagine mtu anakuja dukani kwako kwa nia ya kukwambia unauza bei sana bidhaa zako, unafikiri mteja atanunua? Nafikiri approach hii itansaidia zaidi
 
mkuu ukiogopa mjadala wa bei hutofanya biashara,

Private Message ni njia nzuri pia ya kufanya mjadala na ni nzuri zaidi coz unapata mtu ambae ni mteja wa kweli.
 
Private Message ni njia nzuri pia ya kufanya mjadala na ni nzuri zaidi coz unapata mtu ambae ni mteja wa kweli.
Big NO. Si kweli kuwa Private Message ni njia nzuri ya kufanya mijadala. Private message ni nzuri kwa mambo ya siri, binafsi nk. Mijadala ni kitu cha uwazi na sio siri. Mtu yoyote(awe mteja au sio mteja) anaweza akatumia Private Message.
 
Naheshimu mawazo yako mkuu.
 
Sema bei mkuu, nijipange. Hapa baby wangu ameanza kusumbua.
 
Sawa nishaweka bei wakuu. Mnunuzi naomba aje tuzungumze private nitampa na mawasiliano.
 
Linakua tatizo unapofanya mjadala na mtu ambae hana nia ya kununua bali kuonesha ujuzi wake. Imagine mtu anakuja dukani kwako kwa nia ya kukwambia unauza bei sana bidhaa zako, unafikiri mteja atanunua? Nafikiri approach hii itansaidia zaidi

Harrier mkuu iko poa halafu ni 4 cylinder iko poa. Nimeipendkwkweli
 
Njoo private tufanye mazungumzo mkuu. Ipo available

Mkuu nilikua nina shida na gari hasa la juu hizi gari za rim size 13-14 zinakera lakini hamna namna ndo uwezo.wa tulio wengi. So tunajikusanya tupate hela then kwa kuwa wewe ni mdau wa magari najua bajeti ikiwa sawa nitakucheki mkuu
 
Karibu sana mkuu, biashara makubaliano tu. Ukiwa tayari njoo tuweke mkakati hamna neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…