2000 Toyota Land Cruiser VX 100 Diesel for Sell

Magazetini

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
593
1,712
5451ec11-8692-4d69-8469-dca4742a9d57.jpg

2000 Toyota Land Cruiser VX 100 series
Auto diesel 24 Valve
Engine 1HDT FTE
Price: 35m Negotiatable

Contact: 0624 139 052

757ebb58-abf8-415f-9f76-08c2aefc6e1d.jpg

667e4b4c-a5ca-4cff-b4aa-3d4870b47518.jpg
 
ndio jamaa anataka kutuingiza chaka, Lexus yeye anaita toyota. umakini unatakiwa katika kutangaza biashara, hapo inaweza kuonekana kuna utapeli flani, hayo ni maoni yangu tu lakini

Mkuu,
Show wa mbele mtu unabadili kama unavyobadili rim. Ila hii ni VX sio lexus

Kama unataka nipigie nije kukuonesha
 
hay

sawa kaka lakini kwenye picha hiyo nembo naiona ni tofauti na nembo ya Toyota, au nimeona vibaya au labda niseme ni VX ya Lexus maana nembo yenyewe ni ya Lexus.
Ushauri
Kwa kuwa uliamua kutangaza biashara na kuweka picha ni vema ungeweka picha halisi kuliko mpaka mtu akutafute umuonyeshe. all in all nikutakie kazi njema kaka.
 
ukiwa ulaya wanatumia lexus, badala ya toyota, acheni ushamba wenu, kama hela hamna kaeni kimya
 
Mkuu,
Show wa mbele mtu unabadili kama unavyobadili rim. Ila hii ni VX sio lexus

Kama unataka nipigie nije kukuonesha

mkuu ukienda kwenye Google ukisearch neno LX 470 utakachokiona ni lexus tu na sio toyota landcruiser VX. labda useme hizi picha nimeweka tu sio gari lenyewe, kama gari ndio lenyewe basi ni lexus LX 470 ambayo mijini tunaziona zinataka kufanana na model ya Vx toyota.

Most Recent Lexus LX 470

Sold from 1998-2007, the LX 470 was one of the longest-running vehicles in the Lexus fleet. The LX 470 was mechanically identical to the Toyota Land Cruiser, and differences between the two came down to luxury accoutrements ? namely, the Lexus had more of them. In standard spec, the LX came fully loaded, including amenities like DVD navigation, a rear back-up camera and a premium-grade Mark Levinson sound system. Among the options were a Night View infrared imaging system and a rear-seat DVD player.

Motivation for the Lexus LX 470 came from a refined 4.7-liter V8. A four- or five-speed automatic transmission sent power to all four wheels through a permanent four-wheel-drive system. A lever on the center console allowed the driver to switch to low-range gearing for maximum traction in heavy snow or dirt, while a separate button locked the center differential into a 50/50 power split between the front and rear axles. An adaptive suspension provided both driver-selectable height control and variable shock absorber damping. endelea na web hii chini....

Lexus LX 470 Review - Research New & Used Lexus LX 470 Models | Edmunds
 
We jamaa ni mbishi. Hapo unaona wanakwambia mechanically identical bado unabisha nini??na unazoziona mtaani sio zinataka kufanana na toyota. Ni identical. Just different brands kwa ajili ya masoko. Hata hiyo lexus ukiingalia ndani designs zote na spares ni toyota. Nenda marekani katafute altezza kama utapata. Zote ni lexus. Na sababu kubwa ni kodi,ni ngumu sana kwa makampuni ya kijapani kuimport gari marekani kwakua mmarekani anafavor kampuni za ndani. So magari wanayoyatengenezea ndani ya marekani au kuyaingiza marekani kwa agreement maalum na serikali wanayabrand upya. So american lexus=Japanese toyota. Umenisoma?
 
sasa kwa nini hataki kusema mojakwa moja kua ni lexus, anaficha nini hii ni biashara kwa nini asiwe transparent. ok by the way hayo yoote uliyoyaeleza humu mi nayajua nilichotaka jamaa aweke uwazi zaidi. haya changamkia biashara hiyo, uwe na siku njema ndugu
 
kwa maswali unayouliza asingekuambia toyota na akakuambia lexus tuu, si ajabu ukafikiri ni bajaj ya miguu mitatu
 
hahahaa you make my day niko mjini miaka zaidi ya 15 na ni mjasiriamali lakini sijui kama ni mshamba kiasi hicho unachofikilia, ina maana hata picha sioni, haya bwana ubarikiwe
 
Nilichokiona ni kwamba hii ilikuwa Lexus cygnus ya petrol hivyo kavua ingine kaweka ya vx 1HD Diesel bottom line.
 
hay

sawa kaka lakini kwenye picha hiyo nembo naiona ni tofauti na nembo ya Toyota, au nimeona vibaya au labda niseme ni VX ya Lexus maana nembo yenyewe ni ya Lexus.
Ushauri
Kwa kuwa uliamua kutangaza biashara na kuweka picha ni vema ungeweka picha halisi kuliko mpaka mtu akutafute umuonyeshe. all in all nikutakie kazi njema kaka.

Mkuu,

Hii gari nia VX sio Lexus. Hiyo nembo hapo mbele ilibadilishwa kama urembo. Haina chochote ambazo kinafanya iwe Lexus.

Mkuu, picha unayoiona hapa ndio gari halisi. Ipo hivo unavyiona. Sio kwamba unapewa gari ingine. Ndio hiyo ambayo ipo hapo yenye nembo la Lexus. Nimesema unitafute uione kwasababu naona kama huamini hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom