20 years after 9/11 the Taliban back in Power!

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,562
15,906
September 11 2001 The US forces and allies invade Afghanistan. The war against terror which led to the killing of Osama bin laden and occupied Afghanistan.

Tomorrow will be 20 years ago since the war started and mark the new regime in Power (previous one). Is the USA failed to eliminate The Talibans authorities?
 
Mungu yu pamoja nanyi WATALEBAN.

Nchi itakuwa chini ya watu wasitaarabu, wenye hofu na Mungu. dhurma, mateso, ukandamizaji umefikia kikomo chini ya wataleban. Amani itatawala.

God bless Taleban Government na wa2 wake.
 
September 11 2001 The US forces and allies invade Afghanistan. The war against terror which led to the killing of Osama bin laden and occupied Afghanistan.

Tomorrow will be 20 years ago since the war started and mark the new regime in Power ( previous one) . Is the USA failed to eliminate The Talibans authorities?
Hiki kiingereza kimepiga kona za hatari
 
Mungu yu pamoja nanyi WATALEBAN.

Nchi itakuwa chini ya watu wasitaarabu, wenye hofu na Mungu. dhurma, mateso, ukandamizaji umefikia kikomo chini ya wataleban. Amani itatawala.

God bless Taleban Government na wa2 wake.
Jana BBC walionyesha jinsi Taleban wanavyopokea rushwa kwenye check points. Waandishi wa habari waliotoa taarifa za maandamano yaliyofanyika huko walipigwa sana, ndani ya Taliban hakuna ustaarabu wala uchamungu.
 
BBC na CNN mama mmoja. Usitegemee wakatoa taarifa nzuri kwa serikali ya taleban.

Taleban/Waisilamu ni watu wa amani lakini dunia inajitahidi kuwachafuwa na kuwadhoofisha kiuchumi ili waonekane wabaya.

BBC❌
CNN❌
 
I think lengo la USA lilikua ni kumuua Osama bin LAden, wametimiza. Issue yao kubwa haikua kwa Taleban, Taleban ilikua siku nyingi, kwakua Taleban walikua wakitawala Afganistan na walimu host Osama, ndio ugomvi wa USA ukaanzia hapo na hasa baada ya September 11, mission imeisha, hawana sababu ya kuendelea kuikalia Afganistan, ni swa tu na walicho kifanya Libya, Yugoslavia nk, waliua kiongozi waliye mtaka then hakujali maisha ya raia wa nchi husika na ndio maana hata baada ya kuikalia Afganistan bado maisha ya watu yalikua ni hohehae kama ilivyo Libya tu. Kwa Libya i can bet, wananchi wa nchi ile hasa wazee watalazimisha mtoto wa Gadaf aitawale, hoping anaweza fanya kama alivyo fanya baba yake.
 
Marekani hawezi kuishi bila kupigana vita. Hapo anamtafuta mwarabu mwimgine mjinga mjinga aliezubaa analianzisha anabeba mali huyoo Washington mnaachiwa maghofu.

Afghan sio waarabu.

Marekani ni adui mkubwa kwa waisilamu hilo liko wazi, lau nchi zote za kiisilamu/kiarabu zingeungana kwa pamoja hao makafiri/makafiri wa kiyahudi yasingethubutu kuwavuruga waisilamu na duniani kote.

Pia nchi zote za kiisilamu zingeongozwa kwa sharia za kiisilamu ingependeza mno.
 
Jamaa upo kwenye usingizi mzito sana...waislamu 99% magaidi wahed
 
Back in Time...nikiwa kanda ya ziwa Miaka iyo.....nanukuu..Kwa lafudhi ya kisukuma "Kale jamaa ni katalebani"
Tulipenda kutumia Hili neno kuelezea mtu mtundu mtundu,mjanja mjanja,mwelevu....

Utasikia ngoja mtalibani wangu aje....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom