Weka kiulizo kwenye heading.jamani nimeisikia leo asubuhi kwenye vijiwe vya kahawa kuwa jamaa 20% alikamatwa na unga congo miaka 2 au 3 iliyopita na kuwa yuko congo amefungwa.Nilijaribu kuulza kidogo lakn mnywa kahawa hakuwa na majibu ya kuniridhsha,nimekuja kwenu kwa mtu mwenye uhakika please afunguke
Ujio mpya wa msanii 20% na wimbo wa 'Sitoi'jamani nimeisikia leo asubuhi kwenye vijiwe vya kahawa kuwa jamaa 20% alikamatwa na unga congo miaka 2 au 3 iliyopita na kuwa yuko congo amefungwa.Nilijaribu kuulza kidogo lakn mnywa kahawa hakuwa na majibu ya kuniridhsha,nimekuja kwenu kwa mtu mwenye uhakika please afunguke
Hivi kwanini Watanzania Tuko hivi??jamani nimeisikia leo asubuhi kwenye vijiwe vya kahawa kuwa jamaa 20% alikamatwa na unga congo miaka 2 au 3 iliyopita na kuwa yuko congo amefungwa.Nilijaribu kuulza kidogo lakn mnywa kahawa hakuwa na majibu ya kuniridhsha,nimekuja kwenu kwa mtu mwenye uhakika please afunguke
kwan mkuv bujibuji kujua ni kwel au uongo kuna shda? 20% alipendwa sana,pia mi ni shabiki wake sana,sijaona ubaya kuulizia,kama nimekukwaza pole mkuu,afu mi sina mke wala mtoto.Hivi kwanini Watanzania Tuko hivi??
Tunapenda sana umbeaumbea..... 20% akiwa jela wewe inakuhusu nini?
Utasikia ohhh msanii ni kioo cha jamii.
Haya mimi ni msanii wa picha za ngono nataka kuwa role model wa watoto wako.
Mind your own business