20 killed in RENAMO shootout says police

20 killed in RENAMO shootout says police

katusyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
1,455
Reaction score
434
Mwanaharakati na Kiongozi wa chama cha RENAMO nchini Msumbiji msafaRa wake ulivamiwa na Jeshi la Serikali karibu na mji wa Beira, mwanaharakatI huyu aliye na jeshi la hatari msituni na yeye akiwa fieldmarshall, baada ya kuvamiwa kukatokea mapambano makali yaliyopelekea RENAMO kupoteza wanajeshi 7 huku Serikali chini ya Filipe Nyusi wakipoteza wanajeshi zaidi ya hamsini japokuwa idadi haijawekwa sawa kutokana na Serikali kufichaficha.

Alphonce Dhlakama ni mpambanaji anaogopwa sana na Serikali kutokana na kila anapofuatwa lazima Wanajeshi wa Serikali wapotee wote, nikiripoti kutoka Msumbiji mimi ni Katusyo wa JamiiForums.

==============================
The death toll in a roadside gun battle involving a convoy carrying Mozambique's opposition leader Afonso Dhlakama has risen to 20, police said yesterday, heightening tensions in the troubled Southern African nation. Accounts of how Friday's shootout near Imchope in central Mozambique began differ widely, with Dhlakama's Renamo party claiming it was an ambush.

Police say armed men in Dhlakama's 12-vehicle convoy opened fire first on a minibus taxi carrying civilians. "According to our reports, it seems the minibus came too close to Renamo's convoy, who thought it was attacking, so they opened fire," police commander Armando Mude told AFP. The minibus driver was killed and three passengers were injured, he said.

When police arrived on the scene a gunfight erupted, Mude told AFP on Saturday, saying the death toll was 10 – nine Renamo members and the minibus driver. "The death toll is now up to 19 deaths from Renamo, and still one civilian (the minibus driver)," Mude said yesterday. "The police found the 10 other corpses while patrolling in the surroundings," he said.

The surviving Renamo members – apparently including Dhlakama – fled into the bush and a police operation was continuing in the area, Mude said. It was the second time in two weeks that a convoy carrying Dhlakama, a former rebel leader still at odds with the government, had been involved in a shooting. Renamo spokesman Antonio Muchanga told reporters at a Saturday Press conference in Maputo that the convoy had been ambushed, with seven Renamo members killed.

He said "dozens" of the attackers, who were in civilian clothes, were killed. "President Dhlakama is safe and sound and morally very concerned with the path our detractors chose to follow," he said, without specifying the leader's where-abouts. On September 12, Dhlakama also escaped unhurt after his convoy was hit by gunfire as he returned from a rally in the central Manica province.

Renamo said that was a "planned attack" by the ruling Frelimo party of President Filipe Nyusi and threatened retaliation. The political situation in Mozambique has been unstable for months, with Dhlakama refusing to recognise the results of 2014 elections and threatening to seize power by force in the northern half of the country.

A ceasefire was signed last year in an attempt to end sporadic outbreaks of violence but has not been fully implemented, with Renamo blaming the government's failure to integrate rebel soldiers into the army and police. Two years ago Renamo began a low-level insurgency against the government, two decades after its devastating 16-year civil war with Frelimo ended.

Source: 20 killed in RENAMO shootout says police
 
Duu wameanza tena kupigana wakati mvua ndio zinaanza nilitaka kuja kujikita tena kwenye mawe yangu, vipi issue ni nini hapo halafu Lenamo hawawapendi watz kabisa
 
Katusyo uko mji gani wewe hapo ?
habari ushapewa na sehemu ya tukio ni mjini Beira! anapoishi unapatakia nini? unataka kumfanya vibaya au unataka baadae uje kuzuga watu eti unapajuwa? haya anaishi Nyabugogo
 
habari ushapewa na sehemu ya tukio ni mjini Beira! anapoishi unapatakia nini? unataka kumfanya vibaya au unataka baadae uje kuzuga watu eti unapajuwa? haya anaishi Nyabugogo

waramutse neza tse nywanyi wanjye? Beira ndio tukio lilipotokea nimemuuliza yeye yupo mji gani maana Moza naijua vyema kabisa sio kuzuga watu montopweshi, Lichinga, turo, na maeneo mengine kibao nayafahamu
 
habari ushapewa na sehemu ya tukio ni mjini Beira! anapoishi unapatakia nini? unataka kumfanya vibaya au unataka baadae uje kuzuga watu eti unapajuwa? haya anaishi Nyabugogo

tufanye anaishi kirehe , nyakarambi, rwamagana, ruhengeri au Gisenyi
 
habari ushapewa na sehemu ya tukio ni mjini Beira! anapoishi unapatakia nini? unataka kumfanya vibaya au unataka baadae uje kuzuga watu eti unapajuwa? haya anaishi Nyabugogo
MKuu, Nyabugogo mbona ni huku kituo cha mabasi, Chigali Rwanda
 
MKuu, Nyabugogo mbona ni huku kituo cha mabasi, Chigali Rwanda
naelewa mkuu ila nilikuwa nataka kumtia machungu Dj-kobo, kwa mujibu wake eti aliuziwa mbuzi katika gunia alafu akaona wakumlaumu ni serikali ya Rwanda iliyomwadhibu aliye mmbambikizia lol...
 
waramutse neza tse nywanyi wanjye? Beira ndio tukio lilipotokea nimemuuliza yeye yupo mji gani maana Moza naijua vyema kabisa sio kuzuga watu montopweshi, Lichinga, turo, na maeneo mengine kibao nayafahamu
cyore... uzi ko nari nibagiwe ko muriyo benshi muri Mozambique... Cc: jMali
 
waramutse neza tse nywanyi wanjye? Beira ndio tukio lilipotokea nimemuuliza yeye yupo mji gani maana Moza naijua vyema kabisa sio kuzuga watu montopweshi, Lichinga, turo, na maeneo mengine kibao nayafahamu

Mmmmmhh Wabongo kwa njaa!! Miji yote hiyo umekariri kichwani kama Magufuri!!!
 
Mwanaharakat na kiongozi wa chama cha lenamo nchini msumbiji msafala wake ulivamiwa na jeshi la serikali karibu na mji wa beira, mwanaharakat huyu alie na jeshi la hatari msituni nayeye akiwa fird masho, baada ya kuvamiwa kukatokea mapambano makali yaliyopelekea lenamo kupoteza wanajeshi 7 huku serikali chini ya filipe nyusi wakipoteza wanajeshi zaid ya hamsini japokuwa idadi haijawekwa sawa kutokana na serikali kufichaficha, alfonce dhlakama ni mpambanaji anaogopwa sana na serikali kutokana na kila anapofuatwa lazima wanajeshi wa serikali wapotee wote, nikilipoti kutoka msumbiji mimi ni Katusyo Wa Jf
hizi porojo za renamo (sio lenamo) zinatuhusu kwa vipi. hawa ni vibaraka wa enzi za ukaburu SA wakipinga frelimo. kama wameua askari 50 wa serikali si jambo jema. dhlakama na hao vichaa wake wanastahili kufyekwa.
 
Duu wameanza tena kupigana wakati mvua ndio zinaanza nilitaka kuja kujikita tena kwenye mawe yangu, vipi issue ni nini hapo halafu Lenamo hawawapendi watz kabisa

Renamo hawawezi kuwapenda wa-TZ kwa sababu JWTZ walihusika katika kuwapiga hadi waka-sign mkataba wa amani na Frelimo. Kuna makaburi ya wanajeshi kibao wa Tanzania walifia Msumbiji kwenye vita na Renamo,wakati huo wasadiwa na Makaburu
 
hizi porojo za renamo (sio lenamo) zinatuhusu kwa vipi. hawa ni vibaraka wa enzi za ukaburu SA wakipinga frelimo. kama wameua askari 50 wa serikali si jambo jema. dhlakama na hao vichaa wake wanastahili kufyekwa.

Mkuu, ukisoma kiswahili cha mleta habari halafu ukalinganisha na kingereza kunaonekana kuna mkananyiko kidogo - habari hazirandani hata kidogo - wapi pameandikwa kwamba RENAMO imeuua wanajeshi 50 wa serikali?
 
Back
Top Bottom