20 die in Tanzania floods

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
The vehicle overturned during the recovery process.

Floods and landslides after three days of torrential rains killed at least 20 people and left 10 missing in northern Tanzania's Kilimanjaro region, officials said.

Seven schoolchildren were among the dead in the village of Goha, according to local official Ibrahim Marwa.

Seven houses in the village were engulfed by mud and water, the official said. Eighteen bodies were retrived from damaged houses in Goha early Wednesday and two bodies were later seen floating in a nearby river.

"We are still looking for more bodies or missing people," he added. "There were heavy rains for three days that led to floods and landslides," said Tanzania Meteorological Agency official Philbert Tibaijuka.

In the late 1980s, floods and landslides hit the Makonde Plateau in southern Tanzania's Lindi and Mtwara regions, killing several people.
 
Three days of torrential rains!!!!!! This is wednesday, and no statement from the authorities. By the way, what is the response of the authorities. Sleeping as usual???????
 
Habari za kusikitisha zilizotufikia mapema leo ni maporomoko ya ardhi yaliyosababisha vifo vya watu wanaokadiriwa kufikia 25, yaliyotokea katika kijiji cha Goha, wilayani Same Mkoani Kilimanjaro.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka eneo la tukio, tukio hilo limetokea baada ya kunyesha mvua kubwa usiku wa kuamkia leo ambayo ilisababisha maporomoko yaliyozikumba nyumba saba zilizokuwa na watu, yumkini wakiwa usingizini.

Hadi mchana huu, jumla ya maiti 15 zimeshapatikana na miongoni mwao 10 ni za kike na 5 ni wa kiume. Jitihada za kunasua maiti nyingine bado zinaendelea. Hili ni tukio la kwanza kutokea katika kijiji hicho na limeacha majonzi makubwa kwa wakazi wake.
 
Wakazi wa mjini mwanza pale karibu na railway station wanaoishi milimani wajiandae na matatizo ya kuporomoka kwa milima.
 
Poleni wana Same kwa janga hili kubwa. Landslide ni kitu kigumu ku predict na imeshatokea mara nyingi sehemu mbalimbali za dunia yetu.
 
Miili ya watu 21 waliokufa huko kilimanjaro kwa maporomoko ya ardhi, inazikwa mchana huu

Chanzo hasa ni nini?
 
Back
Top Bottom