20,000/- Taslimu, Zawadi kwa Mnajimu yeyote atakaye nipa Suluhisho la hii Ndoto.

Bado una mawazo ya shule.. na inaonesha ni jinsi gani ulikuwa hupend parade sasa imekuaffect saikolojia yako... jaribu kukaa na kujiambia kwamba ww si mwanafunzi tena na hayo mambo ya parade yashapita.. pengine bado unahofu ya ndani kuhusu adhabu. ukishindwa kabisa jus say ALL IS WELL!!! And everything will be well
 
Mambo ya rohoni haya patikana mbele za Mungu, tii anachokuambia ndipo baadae upendo juu yake utaongezeka, kwa sasa unapata ugumu ni kwa sababu bado hujakubali wito.
 
kwa kawaida ndoto ni bayana, namaanisha chochote utakachokiota kinakujulisha maisha yako uliyopo au yatakayokujia,yaan ni taarifa unayopewa na mungu ili uifanyie kazi, kimsingi ndugu yangu hiyo ndoto unauyoota bado uko shule wakati umeshamaliza shule miaka kama kumi iliyopita, inakujulisha kwmba mafanikio yako yanarudishwa nyuma,yaani hata kama unapata pesa sana jaribu kujiangalia je mafanikio uliyopata yanalingana na kipato chako? so unahitaj delivarence ndugu yangu.changamka, uko mkoa gan?
 
Ndoto hii kwa lugha ya saikolojia inaitwa examination/matriculation dream. Ndoto huwajia waliofaulu mtihani tu. Bila shaka ulifaulu masomo ya kidato cha sita. Ndoto hii hutokea mara kwa mara iwapo lipo jambo linasumbua akili mfano interview ya kazi na kadhalika. Ndoto kama vile inakupa moyo na hili utafaula kama ulivofaulu mtihani shuleni. Google dream interpretion/matriculation dream Freud.
 
Hawa CHADEMA jamani lol.
Yani wameamua kuja na plan 'B' ya kuwatesa watz kwa kupitia ndotoni baada ya ile ya kuitisha maandamano kuonekana zilipendwa aise!
Cc Baba V
 
Last edited by a moderator:
kwa kawaida ndoto ni bayana, namaanisha chochote utakachokiota kinakujulisha maisha yako uliyopo au yatakayokujia,yaan ni taarifa unayopewa na mungu ili uifanyie kazi, kimsingi ndugu yangu hiyo ndoto unauyoota bado uko shule wakati umeshamaliza shule miaka kama kumi iliyopita, inakujulisha kwmba mafanikio yako yanarudishwa nyuma,yaani hata kama unapata pesa sana jaribu kujiangalia je mafanikio uliyopata yanalingana na kipato chako? so unahitaj delivarence ndugu yangu.changamka, uko mkoa gan?

Hallo Liz,
Niko Dar. Nami pia ninahisi kitu kama Hicho kuwa nahitaji Deliverance. Nipe Muongozo jinsi ya kufunguliwa na nani aweza kunifungua. Kwani nlikuwa nmeplan kutembelea Scoan Church Of All Nations this year on December if GOD wishes. Ila kama naweza kuipata hiyo Huduma hapa Nyumbani pia ni Vizuri ukanielekeza Pia.

Thanks.
 
Ndoto hii kwa lugha ya saikolojia inaitwa examination/matriculation dream. Ndoto huwajia waliofaulu mtihani tu. Bila shaka ulifaulu masomo ya kidato cha sita. Ndoto hii hutokea mara kwa mara iwapo lipo jambo linasumbua akili mfano interview ya kazi na kadhalika. Ndoto kama vile inakupa moyo na hili utafaula kama ulivofaulu mtihani shuleni. Google dream interpretion/matriculation dream Freud.

Ni kweli Ndugu SimpleMind, Nilibahatika kufaulu (HGL-DIV-II)
Sijaendelea na Elimu ya juu Bado kutokana na kuahirisha Mara kwa Mara kila nnapoomba kwenda University Mwajiri wangu ananiomba nisubirie kidogo kutokana na perfomance yangu sehem yangu ya Kazi kuwa nzuri. Na hata hivyo ameahidi kunisomesha hadi ntakapokomea pindi atakapo niruhusu kwenda Shule.
 
Back
Top Bottom