Nyani na professor Mchundo, hebu punguzeni utani kwenye hii topiki. Mkiendelea kuleta utani, nitajipachika nafasi ya u-moderator. Nitafuta posti zenu zote (joke).
Kwa ujumla, watanzania wengi bado tunaishi katika zama za mawe. Hili suala la vyoo ni moja wapo ya mambo ambayo tumeshindwa kuyatawala kwa muda mrefu. Tembelea kwenye masoko, vituo vya mabasi, sehemu za starehe kama kwenye mabaa, shule za sekondari, hata hospitali, yaani ni balaa tupu. La msingi hapa, ni kukubaliana na huu ukweli halafu tubadilike, kama kweli tupo tayari kwa hayo mabadiliko.
Kuna element kubwa ya uvivu, uvivu wa kufikiri, uvivu wa kuboresha mazingira, uvivu wa kuboresha maisha na kadhalika.
Uvivu huu ulijengwa na neema, Waafrika hawakupata tabu ya kuwa na nchi inayozalisha kwa miezi michache tu ya mwaka, tumekuwa na na nchi inayozalisha mwaka mzima, hatukuwa na tatizo la baridi, hatukuwa na matatizo mengi ambayo wenzetu wamepitia.
Matatizo yamewafundisha wenzetu kuwa industrious, ndiyo maana wazungu wachina na waarabu walianza kutoka kwao kutafuta maisha nchi za watu kwa kufanya biashara na ku colonize.
Zaidi ya sisi neema yetu kutufanya tuwe na nature ya kuridhika, tumekuwa na usiri sana kwa nia ya ku preserve status quo.Ndiyo maana hata hao ma Egyptians waliokuwa na uwezo wa kujenga ma pyramid walifanya siri ili watu wa kawaida wasijue.Wenzetu walivyopata maendeleo (ambayo mengi waliyaiba middle ieast katika Crusades) waliweza kuyaendeleza kwa kuyaweka katika public domain (with cases of patents of course) ambapo hizo technolojia ziliendelezwa (case in point the development of the telescope)
Kwa hiyo sisi tuna matatizo ya kuridhika na usiri among many others.Hata ukiangalia viongozi wetu wa leo ambao wengi wametoka katika familia maskini kabisa, utaona wameshasahau walipotokea na wana attitudes za "kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe" huku wakisheherekea personal triumphs, bila kujali umma.Wana usiri wa vificho vingi ili wabakie kwenye powere (read EPA report is not made public up to now) bado tupo kule kule kulikoiangusha Egypt kama world superpower.
Nyani na professor Mchundo, hebu punguzeni utani kwenye hii topiki. Mkiendelea kuleta utani, nitajipachika nafasi ya u-moderator. Nitafuta posti zenu zote (joke).
Kamanda, pale juu ni arusi na sio HarusiMkuu MwanaMalundi,
Asante kwa kunipandisha cheo. Huko unakonipeleka sijawahi kufika labda niupate wa uganga wa kienyeji! Shukurani lakini.
Kwa bahati mbaya sijawahi kufanya utani kwenye hii mada. Si kawaida yangu.
Hili ni suala ambalo kwa vile hatupendi kufikiria mbali na kuwekeza kwenye maeneo yasiyotupa umaarufu wa haraka haraka litaendelea kusumbua jamii yetu.
Nawaonea huruma hao maharusi ambao bila kupita Ocean Road harusi haijakamilika. Ocean road ambako sewer line yetu inatupa raw sewage baharini! Kuna bango jirani linaloonya watu wasiogelee maana kuna faeces katika hayo maji lakini kila kukicha utawakuta watoto wakiogelea. Na hapo ni Dar es Salaam. Sehemu nyingi ukichukua maji ya Dawasa na kuyapeleka maabara utakuta kuna traces za faeces. Sasa hata kama mtu utajitahidi kuchemsha maji ya kunywa, yale unayoogea je?
Si jambo la masihara hata kidogo.
Kamanda, pale juu ni arusi na sio Harusi
nikirudi kwenye mada sewage hubeba vita kadhaa zaidi ya feaces kama vile:
BOD
COD
Nutrients(N,P)
Pathogens(Bacteria, virues, worm eggs)
Toxic compounds
Odour/color
Thermal effects
Dissolved solids(TDS)
nikirudi kwenye mada sewage hubeba vitu kadhaa zaidi ya feaces kama vile:
BOD, COD, Nutrients(N,P) Pathogens(Bacteria, virues, worm eggs)
Toxic compounds , Odour/color, Thermal effects, Dissolved solids(TDS)
Mkulu wangu Kibunango,
Duh! that is wasup man, hii umenitoa nje mkuu kumbe mambo ya afya na nini unapandisha kichwa kichwa, duh! I mean hands down heshima mbele, yaaani this is wasup mkuu!
Ni mambo ya fani tu...Ebwana mbona unajua sana kuhusu haya mambo?