Jamaa anamtongoza demu,Najitokeza katika ofisi ya moyo wako,nahitaji kazi katika nafsi yako,ninazo sifa za kutosha,kwani nimesoma katika chuo cha st LOVE huko TRUE LOVE CITY,katika masomo niliyo chukua nilipata ZERO kwenye masomo ya - usaliti ,uongo,upuuzi ,dharau ,uchoyo,kiburi,majivuno,matusi,na mpaka sasa nina Diploma ya upole,master ya wivu,bachela ya uaminifu,phd ya kubembeleza,na Uprofesa wa kupenda, je?!nitapata ajira katika moyo wako?