Duh! 175,000,000,000 =$5😱😱
Hata sie tutafika tu huko na kashilingi ketu...
nina wasiwasi hawa vibaka kabla ya oktoba wataforce shillingi ipande hata kwa kwenda kukopa dollar na kuziuza. tena mentor wao mchina!Ndio sababu wameamua kuitema currency yao niliwahi kusikia miaka ya nyuma bei ya mkate ni Zimbabwean dollar bilioni 5! Shilingi yetu isije ikafika huku lakini kwa hii speed tunayokwenda nayo na mafisadi na vilaza kung'ang'ania kutaka kuongoza nchi wakati hawana uwezo hata chembe basi miaka mingine 10 ijayo si ajabu ikafikia Tshs 4,000 (au hata zaidi) = U$ 1
175 Quadrillion Zimbabwean Dollars Now Equals $5 - NBC News
Kwa exchange rate ya leo tarehe 15 June 2015, 1USD ni sawa na Zimbabwean dollar 361.9 wakati sisi tupo 2193. Yao iko juu kuliko yetu. Zimbabwean $1 ni sawa na Tanzanian shillings 6.
nina wasiwasi hawa vibaka kabla ya oktoba wataforce shillingi ipande hata kwa kwenda kukopa dollar na kuziuza. tena mentor wao mchina!