Hiyo Crucifiction ni uzishi mkubwa especially unaofanywa na wakatoloki kuwapoteza Wakristo. Ushahidi wa kutosha nimeumwaga kwenye thread hii. La pili mbona kuna Sects nyingi za wakristo wanakubali kuwa Crucifition sio kweli na hata hawavai misalaba. Pia wanakubali kuwa Yesu sio mtoto wa Mungu. Iweje leo ancient bible ipatikane na iseme Yesu sio mtoto wa Mungu na Crucifiction sio kweli ushindwe kuamini???
Ukienda kwenye vita utapotea nje sana ya maada. Ndio maana sikutaka kwenda huko. Lakini wacha nikupe dondoo.Ujajibu maswali mkuu, umerudi kule kule achana na hizo lines
Halafu sijasema muslims they are terrorist kwa sababu ulivyojibu kama vile nimesema hivyo. Nimeuliza kwanini wanajaribu kutengeneza vita kati ya wakristo na waislam with the exception of the funded bible
Unajua bana this world is full of lines, usijiweke kwenye gereza la akili mwenyewe...follow them lines
"mtu atakae kunifuata mimi ajikane,abebe msalaba wake anifuate"-said who?.Biblia yangu inasema YESU KRISTO aliteswa na kuwa crucified na kufufuka siku ya tatu na kisha baadae akapaa mbinguni, nadhani bila shaka wewe utakua unamuongelea Issa basi....
Kuna Oldest Quran imepatikana Uingereza. Kwani kuna tatizo gani? Hiyo Oldest Quran is exactly the same as the current one. Kwanini hiyo Bible iwe tofauti na ya hivi sasa?? Nafikiri hilo ni swali la kujiuiza. Sikiliza hiyo link ya BBCNikitu gani kinacho kupa kiburi cha kukiamini icho kitabu na ni kwanini uwaamini hao unao waita ni wa taalam umewaamini ? Je ulisha fanya research juu ya Bible wanayotumia wakristo ?
Don't bliv every word u hear
Tumia maarifa yako kujiuliza y hio type of bible ipatekane nyakati hizi na kuna nini kinaendelea hapo maeneo ya nchi za kati ?
Biblia yako ni hiyo niliyo inukuu. Soma thread vizuri. Nimetoa maelezo ya kutosha kuhusiana na hayo. Soma kwanza kisha njoo na hoja. Lakini soma kuelewa sio kushindana.Biblia yangu inasema YESU KRISTO aliteswa na kuwa crucified na kufufuka siku ya tatu na kisha baadae akapaa mbinguni, nadhani bila shaka wewe utakua unamuongelea Issa basi....
Kaka usitawalwe na ujinga. Yesu ni Kiswahili Issa ni kiarabu. Abraham ni Kuzungu na Ibrahim ni Kiarabu. Moses ni kizungu na Mussa ni kiarabu. Nakadhalika.Hahahaha Islam inamzungumzia mtu anaeitwa Issa na sio YESU KRISTO. Mbona hilo liko wazi
Kaka usitawalwe na ujinga. Yesu ni Kiswahili Issa ni kiarabu. Abraham ni Kuzungu na Ibrahim ni Kiarabu. Moses ni kizungu na Mussa ni kiarabu. Nakadhalika.Hahahaha Islam inamzungumzia mtu anaeitwa Issa na sio YESU KRISTO. Mbona hilo liko wazi
Inamaana Sects zingine za kikristo zisizoamini Misalaba Crucifiction, kufa na kufufuka sio Wakristo??Good!
Imani ya kikristo imejengwa hapo! Mateso, Kifo na Ufufuo wa Yesu.
Wapinzani wa injili wanapata taabu sana na hili!
Kaka naona una issue ya ukabila. Dini haina ukabila. Na Dini yenye ukabila sio DINI. uelewe hivyo.asili ya Bilal kama kitabu cha mtume muhamad kinavyosema..!!but sure mkiachana na ujinga wote wakuwatukuza hao weupe mtajua kweli yenu nyie wakristo fake na waisilamu vifuata upepo
Watchout mkuu sisi wote ni binadamu anayejua nani yuko sahihi ni mungu pekee sisi tutapotezana.. Sasa iweje wewe binadamu kama binadamu wengine unathubutu kumnyooshea kidole binadamu mwenzako! Umejiangalia wewe umesimama wapi?Wakristo kweli nimeamini shida yenu sio kuujua ukweli juu ya dini.nyinyi munataka kufata kile kinachowafurahisha nafsi zenu tu.haya final uzeeni
Kama ulikuwepo awajui kubwa mafundisho potofu ayakuanza Leo,Mafundisho ya wanikolai!
Eeeeeeeh kwahiyo ni kungonoka mwanzo mwisho.....kama ni kweli basi mtafaidi sana waislamuSio mabikra 7, umekosea mabikra 70,000. Tazama jinsi unavyo mtaja Mtume wa Mwenyezi Mungu kwa kejeli. Mtume huyo ndiyo aliyekuja kuzungumza na kukamilisha waliyoleta mitume iliyopita yakiwemo maagizo ya Yesu. Mtume huyo ndio aliyoongoa watu na kuwatoa kwenye ujinga na kuwaongoza katika mstari ulinyooka. Ni Mtume pekee aliyekuwa completely successful katika utumwa wake na amekamilisha kazi yake kikamilifu. Kwahiyo chunga lugha ya na ulimi wako juu yake. Hilo ni wazo tu la wewe kuzingatia.
Hiy uliyoitaja ni Pepo. Na pepo ina maelezo yake mazuri kwenye Islam. Kuna vitu vingi ambavyo unahitaji kujielimisha navyo. Na ni vitu vizuri mno kuvisoma na kuvisikiliza. Kuwa mpole.
Umesema wewe"mtu atakae kunifuata mimi ajikane,abebe msalaba wake anifuate"-said who?.
YESU kiswahili alafu YASU kiarabuKaka usitawalwe na ujinga. Yesu ni Kiswahili Issa ni kiarabu. Abraham ni Kuzungu na Ibrahim ni Kiarabu. Moses ni kizungu na Mussa ni kiarabu. Nakadhalika.
Hayo ni majina kuashiria mtu fulani. Issa na Yesu ni mtu yule yule.
Yeah hao sio wafuasi wa kristo.....na sidhani kama kuna wafuasi wa kweli wa kristo wanaopinga kusulubiwa kwakeInamaana Sects zingine za kikristo zisizoamini Misalaba Crucifiction, kufa na kufufuka sio Wakristo??
Dini ambayo imewathamini hadi majini na kuwapa sura ya kitabu yaani Suratul jinnDini gani hiyo?
kwanini sio....???Sio biblia iyo
Watu watajiunga na dini yako kwa kuona mafanikio yatokanayo na neema as Mungu wako katika maisha yako. Sii kwa kejeli wala kubeza imani za wengine.