Niambie wapi YESU kasema mimi Mungu niabuduni??? Usizushe uongo. Haupo kanisani hapa. Leta UshahidiENDELEA HIVYO HIVYO, MOTO UNAKUSUBIRI USIPOBADILIKA. MUNGU MFUGA MAJINI MUNGU GANI HUYO?????????/ /MUNGU MFUNDISHA UCHAWI MUNGU GANI HUYO??????? MUNGU WA KUOKOA MPAKA UVAE HIRIZI NA KUFANYA MATAMBIKO NDIYO AKULINDE............UKITAKA MAMBO YANYOOKE HADI UENDE KWA WAGANGA NA WACHAWI WA DINI YAKE, KUPATA WATEJA HADI UFUKIZE UDI,
AKAFIE MBALI KAMA ALIVYOKUFA MTU WAKE HUYO UNAYEMTETEA.
NA YESU NDIYE MUNGU NA TENA NI MWANA WA MUNGU TENA NDIYE ATAMHUKUMU SIKU YA MWISHO HUYO UNAYEMTETEA
Wewe kweli huna akili.Kama una pendekeza tuamini kuwa mohamed alitumwa na Yesu pia unamuumbua mohamedi mfuasi wa kristo (mkristo) alikiuka utume wake na kutangaza mambo aliyoyapenda yeye kwa maslahi yake yaani Ngono na utapeli.
Why are you speaking as if you do not bilieve Bible is not God's words?? The Concept is if God proclaim to protect his loved ones then he never fails. Thats the point which stressed here. In that case how come He let Jesus safers even though Jesus asked for his protection several times???It seems you have a problem of decontectualization. Umerudia kosa lile lile la kotozingatia mktadha. Zab 91 ni ulinzi wa Mungu kwa waja wake sio specific kwa Yesu. Do not try to insert your own idea which is not there. You should interpret the Bible literary and figuratively according to its context
Nipinge kwa hoja.Wewe kweli huna akili.
Hoja gani ulioleta wewe zaidi ya kuongea Pumba. Nenda kalale.Nipinge kwa hoja.
Ndugu! Hii dunia kuanayo macho, muombe Mungu akusamehe kwa usiyoyajua.Hakuna shida..... Hata wangegundua iliyoandikwa miaka 100 AD halafu ikaonekana haielezi kile kilichopo katika imani ya ukristo HAITAWEZA KUBADILISHA UKWELI.
'Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote,kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo'(MDO 4:12)
Tena Yesu anazungumza mwenyewe akisema:
'Amwaminiye Mwana yuna uzima wa milele; asiyemwamini Mwana hataona uzima,bali ghadhabu ya Mungu inamkalia'(Yoh. 3:18)
Yesu alimwaga damu kama ishara ya ukombozi. Hakuna msamaha bila damu. Mungu ametuhurumia kwa kutuletea Yesu ili awe mpatanishi kati yetu na Mungu.
Huhitaji kutumia nguvu, ni kuamini tu......!
Nini swali lako kaka? Manake naulizwa maswali mengi humu ndani. Hata sikumbuki nani kauliza nini. Nikumbushie swali.
Nini swali lako kaka? Manake naulizwa maswali mengi humu ndani. Hata sikumbuki nani kauliza nini. Nikumbushie swali.
Sijui inavitabu vingapi. Mimi nimekuanzishia. Wewe ni wajibu wako ufuatikie dini yako ujue ukweli. Usiniulize mimi kana kwamba mimi ndiye nilichokiandika. Nyinyi munataka mutafuniwe, mukitafuniwa munashindwa kumeza. Sasa ni bora mufuatilie imani yenu mupate kujua ukweli.
Nimeshakuambia kuna YESU KRISTO na ROHO MTAKATIFU.....ROHO MTAKATIFU alishuka siku ya Pentekoste YESU alipo paa kwenda MbinguniNani Roho mtakatifu? Ni Yesu?
Nimekimbiaje wewe....ntakanaje mistari ya biblia akati ndo kitabu changu....Shida ni kuwa munakana maneno yakiandikwa ndani ya Biblia kisha munajita Wakristo. Sasa mbona kitabu chenu chenyewe munakikana?
Nimekuuliza unaikubali Deuteronomy 24:16?
Hukunijibu hadi sasa. Au Unakimbia suali?
Wasabato part twoDini gani hiyo?
haiwezekani yesu amtabirie mudNipe ushahidi ni wapi ninaposema uongo? Hayo ni maneno ya Bible. Sio yangu.
Kama kweli unasoma biblia jibu utakua nalo la kuhusu kwanini YESU anakuja siku ya mwisho.........Wewe kweli Sifuri. Siku ya mwisho unamaanisha nini?? Hapi katika maelezo yako umechanganya.
Yesu atakuja siku za mwisho wa ulimwengu. Mtume Muhammed ameshatangulia mbele ya haki, yeye hamsubiri Yesu. Wataomuona Yesu ni watu wataokuwa hai wakati huo. Unajua Yesu anakuja kufanini??
Unajua bible unasoma kama hadithi, roho mtakatifu anakiwa akuongeze ukisoma neno la mungu.Yesu alikuja kutuokoa kwa kupitia yeye,kabla ya hapo walikuwa wanatoa sadaka ya kuteketeza ili wasamehewe dhambi.Sio kwamba ukiwa na jina la Patrick au joyce ndo uone ufalme wa mbingu ila ukimfuata na kwa kukabidhi maisha yako kwa mungu.Ila ukifanya dhambi hukumu itakuwa juu yako.Kama ingekuwa hivyo ingekuwa raha sana. Lakini sivyo ilivyo.
Ni kweli Adam na Hawa walitenda kosa na kwa sababu hiyo tumeletwa Duniani. Ila pepo yetu ipo pale pale, na Mungu anataka watu wanaomtii yeye tu ndiyo awaingize peponi kwa Rehma zake.
Mtume Muhammed(Rehma na Amani zimfikie) aliwaambia Maswahaba wake kuwa kila mtu ataingia Peponi isiyokuwa yule asiyetaka. Maswahabu wakamuuliza ewe mjumbe wa Mungu ni nani atakeyekataa kuingia peponi? Mtume(Rehma na Amani zimfikie) akasema asiyetaka ni yule anayesikia wito wa Mungu na akaukana. Kwahiyo ingawaje Babu yetu Adam alikosea lakini alitubia na Mungu akamsamehe. Sasa pepo yetu ipo pale pale, jambo la msingi ni maamuzi yetu tu.
Na kusema Fabrication ni maake Uzushi. Tukisoma Old Tastement inasema kama Quran inavyosema kuwa kila mtu na dhambi zake. Haitawezekana mtu mmoja abebe dhambi za mwingine. Siku ya mwisho ifikapo Kila mmoja atahukumiwa kwa yale aliyoyatenda. Hiyo siku Wakristo watamkimbilia Yesu na Yesu atawakana. Hatakuwa mtetezi wa yeyote yule kwani yeye mwenyewe yupo katika mkumbo mmoja ingawaje Mitume hawana madhambi ila hawawezi kumtetea mtu siku hiyo ya mwisho. Hiyo ni siku ya hasara kwa aliyekana ukweli ulipomfikia na siku hiyo ni furaha kubwa kwa aliyeukubali ukweli na akatenda yale aliyoamrishwa. Siku hiyo watu watakimbiana, mama atamkibia mwanae na mwana atamkimbia *****, baba atamkimbia mkewe na wanawe na wao hivyo hivyo watakimbiana. Hakutakuwa na mtetezi siku hiyo na milango ya toba itakuwa imefungwa. Ndugu zanguni muda mliokuwa nao dunia muutumie kuutafuta ukweli kwani hiyo hali itakapofika mutakuwa kwenye hasara kubwa. Kumbuka utaishi maisha ya milele bila kufa, sasa uamuzi ni wa kwako either uende peponi au motoni.
Shida ni kuwa munakana maneno yakiandikwa ndani ya Biblia kisha munajita Wakristo. Sasa mbona kitabu chenu chenyewe munakikana?
Nimekuuliza unaikubali Deuteronomy 24:16?
Hukunijibu hadi sasa. Au Unakimbia suali?