Ni habari mbaya sana iliyotokea jana jioni watu 15 walifariki na wengi walijeruhiwa jijini Kinshasa baada ya mchezo kati ya timu tajwa hapo juu.
Wachezaji wetu Mbwana Samatta na Ulimwengu wako salama.
Habari hizi ni kwa mujibu wa Amka na BBC.
Matokeo: TP Mazembe 1 AS Vita 0. Mashabiki wa Kinshasa wakachukia kufungwa na timu na timu ya 'mkoani', wakawaumiza polisi 4 nao wakajibu kwa mabomu ya machozi...!
Matokeo: TP Mazembe 1 AS Vita 0. Mashabiki wa Kinshasa wakachukia kufungwa na timu na timu ya 'mkoani', wakawaumiza polisi 4 nao wakajibu kwa mabomu ya machozi...!