.

Umenikumbusha nilipokuwa kijana mkuu wkend especially jumapili nilikuwa nikipiga supu naunganisha bia mpaka saa tano usiku.
Sasa hivi watoto chuo kikuu ada na meals allowance yaani hoi kabisa hata hamu ya bia imepotea kabisa

Daah kweli wakati ukuta mkuu huwezi kupigana nao
 
Umenikumbusha nilipokuwa kijana mkuu wkend especially jumapili nilikuwa nikipiga supu naunganisha bia mpaka saa tano usiku.
Sasa hivi watoto chuo kikuu ada na meals allowance yaani hoi kabisa hata hamu ya bia imepotea kabisa
...........ni wakati wake mkuu naona anapita mule mule ulikosema,mdau anatoa na lock kabisa Safari moja ikianzisha nyengine unafikiri kuna kuondoka hapo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…