140 year old turtle mom, with 5 day old son.

Mkuu MziziMkavu nimesikia huyu kiumbe ndie anaeishi miaka mingi zaidi kuliko wote, ni kweli?
 
Last edited by a moderator:
Alimaanisha 'abarikiwa mtoto'. Si unajua kiswahili kila mtoto anasaliwa?

Heri ya mwaka mpya King'asti....
Kwa hiyo huyu anataga kisha anaangua.....na ukiunganisha maneno anazaa...
 
Last edited by a moderator:
Hicho kitoto kiliwekwa au kilipanda chenyewe hapo kichwani MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…