Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,266
- 61,213
Kkq nimetoa mfano tu,Mbona watatu tu sasa?
Afadhali wewe umeweza kuziona hata hizo namba aiseeeee101. Albert Einstein
20. Chegu
21. Fidel
72. Carl max
89. Charlie champline
86. Malcom X
53. Mahatma Gadhi
15. Michael Jackson (ruhusa kunisahihisha)
Nitarudi kumalizia
Hata Kofi Anan humuoni hapo
Au mwangalie 101 ni lazima umjue
Albert Einstein.Au mwangalie 101 ni lazima umjue
KWA HIYO NYERERE vs MANDELAHata Kofi Anan humuoni hapo
Haswa ndieAlbert Einstein.
hivi huyu ndiye aliye lete EINSTEIN'S THEORY kwenye GEOGRAPHY?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio bora bali ni mashuhuri duniani kwa Nyerere hakuwekwa
#86 namuona Bill gates kwa mkao wake
Naendelea kuangalia.......Haswa ndie
Wapo wengi utawajua ukiangalia kwa umakini
Naona ni hivyoNaendelea kuangalia.......
Nyerere utakuwa maarufu hapa bongo pekee
Sent using Jamii Forums mobile app
nae analijua ni lake pia analipenda[emoji28][emoji23] hiv hili jina alipewa na nan aisee.!!