Safi sana mkuu kwa kutufahamisha. Cmd huwaga inasaidia sana wkt wa troubleshooting hasa kwa windows based os pc ambazo hazina GUI features fulani ktk os version husika.
Nilitumia cmd kudisable administrator a/c ktk win7 home edition kwa kutumia command ya "usernet.."