MillionHairs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 803
- 406
Hujui usemalo,
If i were you
Ningekojoa na kwenda kulala
Hahahahahahaha.
Akili zako zipo miguuni, kichwani umejazwa upepo.... I wish ungekielewa unachonena, maana umekosa strong point umebak unapayuka.....
Mjadala ufungwe nadhani.
Wewe endelea kuwauzia wenzako hizo nywele za bandia uendelee kuishi na wahubirie kuwa kubandika nywele za bandia juu ya nywele halisi ndiyo urembo,waambie pia wabandike kucha,kope na hata kama kuna lips za bandia waambie waweke ila watawapata wajinga wenzao.Mimi sahau
Hahahahahahaha yani jamani wewe Mmmmmmh kazi unayo
Okay ni hv, usemayo ni ukweli mtupu kua wanawake wanapenda urembo, ila ishu iliyoongelewa zaidi ni kua urembo wa mtu upo kwa mtu mwenyewe, kuna ulazima gan mpk ujiongeze manywele sijui makatani, makucha n.k....
Hapo ndipo uliposhindwa kuelewa ndugu yangu, hatujasema hakuna viwanda au hakuna watumiaji point ni MWANAMKE MPAKA AWE MREMBO NI LAZIMA ABANDIKE NYWELE???? kwan akichana nywele zake akasafisha kucha zake hawez kuonekana MREMBO???