................................................................siwezi kuelezea sasa hivi ninavyokupenda Tanzania, maana hili sakata la mawaziri ni tamu mno!!! Halafu eti wao wanajifanya hawajui???
................................................................siwezi kuelezea sasa hivi ninavyokupenda Tanzania, maana hili sakata la mawaziri ni tamu mno!!! Halafu eti wao wanajifanya hawajui???
Kwa hiyo hawajui jinsi gani Ng'anakiduku amefall kwa Tanzania.
Aisee hii kitu naifuatilia kwa undani sana, sikupata tu mtiririko wa mawazo ya jamaa; could be he is too excited!
Kwa hiyo hawajui jinsi gani Ng'anakiduku amefall kwa Tanzania.
Aisee hii kitu naifuatilia kwa undani sana, sikupata tu mtiririko wa mawazo ya jamaa; could be he is too excited!
Ukweli serikali ya Tanzania imeoza sana. Na tatizo la viongozi wengi wanatumia hela nyingi kuhonga kutafuta ubunge, wakishapata wanataka warudishe mtaji na faida.
Kuna jamaa mmoja aligombe ubunge, yaani kwenye kura za maoni aliuza nyumba gari 2, na matreka 2, halafu akatoswa. Sasa mtu kama huyo apate ubunge itakuwaje?
Sio pressure mwenzio kajawa na furaha; hadi ile ya kwenye sarawili ikawa excited ndio maana inahusu Mapenzi (na tanzania), Mahisiano (na tanzania) na Urafiki (na Tanzania ofukozi)!