Nyumba ndogo
Majungu ofisini
extended family
maharage mchana na jioni
kuvaa nguo ili uonekane na sio kujisitiri
kubisha tusichokijua
Kuogopa sana dola
Kwenda kwa waganga kutafuta au kulinda cheo
Ngono ili kupata maksi au kazi
Kumtetemekea RA hahhahahaaaaaa