10 Quick tips to turn on any woman instantly

10 Quick tips to turn on any woman instantly

Hiyo namba nne Ndio dawa yao hawa, hiyo kwanza inaleta kila kitu, good dressing, confidence etc
Hujawahi kuona mtu ana hela na bado mshamba tu?!
 
we tafuta pesa tu hilo ndio muhimu...hapo utawavutia lakini hakuna guarantee ya kuwatuliza kwa pesa tu, mambo ni mengi zaidi ya hayo
 
we tafuta pesa tu hilo ndio muhimu...hapo utawavutia lakini hakuna guarantee ya kuwatuliza kwa pesa tu, mambo ni mengi zaidi ya hayo
Tutajie mambo mengine zaidi ya hayo kumi tujifunze.
 
Tutajie mambo mengine zaidi ya hayo kumi tujifunze.
Mkuu RRONDO nipe methods na methodologies ambazo huwa unatumia kukwapua mademu wa JF!!!.....Toka long time unawapata kirahisi sana!!......Na mimi nawataka bhana!!!
 
Mkuu RRONDO nipe methods na methodologies ambazo huwa unatumia kukwapua mademu wa JF!!!.....Toka long time unawapata kirahisi sana!!......Na mimi nawataka bhana!!!
Duh....! Sijawahi kupata demu humu....Nimepata mchumba tu baada ya kuweka thread ya kutafuta.
 
Naona umeamua kufukua makaburi...
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] nimecheka kwanguvu hapana sifukui sasa sikweli umekiri umepata mchumba kwakumtafuta jf[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] nimekupa hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom