Botswana imeonewa ila ile nchi kusini mwa Kenya inastahili kuwepo,kwanza maajabu yanakuja ni bonge la nchi kwa ukubwa wa eneo imebarikiwa maziwa makubwa matatu katika ulimwengu huu yapo top ten ya maziwa makubwa,migodi ya dhahabu,almasi,Uranium,gesi,misitu,water bodies,arable land lakini ni maajabu mno unapoambiwa raia wake ni maskini wa kutupwa wanaishi chini ya dola moja hapa furaha inatoka wapi?..Yes tunajidanganya eti ni nchi yenye amani ,amani gani mnayoiongelea nyie kama ni vita nchi nyingi tu hakuna vita..Kenya hakuna vita,Marekani,Zambia,South Africa,India na nchi nyingi tu hakuna vita leo hii anasimama kiongozi atasema eti mafanikio ya miaka 60 ya uhuru ni kudumisha amani..Amani gani tunaongelea hapa!!?? Mbona watu wanaokotwa kwenye viroba mitoni!?,mbona watu wanapigwa risasi hata wakiandaman kwa amani!??