10 dead in Nigeria mosque attack

10 dead in Nigeria mosque attack

Black Jesus

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2008
Posts
256
Reaction score
10
N0089401350225977992A.jpg

The majority of those killed appeared to be leaving the Nigerian village's main mosque after the early call to prayers

Gunmen armed with rifles and machetes have attacked a rural village in northern Nigeria, killing at least 10 people, including worshippers leaving a mosque after prayers.
The attack happened in Dogon Dawa, a village in the pasturelands of Kaduna state where police and security forces maintain only a light presence. The number of dead could be higher as emergency responders acknowledged that estimates of those killed in the attacks varied wildly.
A rescue official in the state who lives near the village said the attacks began in the early morning under the cover of darkness, with as many as 50 gunmen surrounding the village and its surrounding farmlands.
The majority of those killed appeared to be leaving the village's main mosque after the early call to prayers, the official said.
Even the reasons for the attack remained unclear. The emergency official said locals blamed a gang of robbers who recently arrived from neighbouring Zamfara state and had begun attacking villages and robbing people along the road.
Dogon Dawa had formed a local vigilante committee to patrol their area and that group and the robbers had been killing each other over the course of the last weeks, the official said.
"This time around they decided to launch a reprisal attack," the official said.
However, activist Shehu Sani, who leads the Kaduna-based Civil Rights Congress, said it appeared the attack was between Muslim farmers and Muslim nomadic cattlemen who graze in the area. Tensions and violence spring up between the two groups over land rights, though not often with such an intensity.
"The spasm of violence and senseless bloodshed in the northern parts of Nigeria has reached an alarming and unacceptable level," Sani said.
Kaduna state sits on the fault line running between Nigeria's largely Christian south and Muslim north, where mass killings and violence have occurred over the last decade.
 
Nimeipenda hiyo ya kusema: "MUSLIM FARMERS AND MUSLIM CATTLE HEARDERS" wanatwangana.
 
[h=2]Watu wenye bunduki wamwaga risasi msikitini na kuua watu 24 Nigeria[/h]
Takriban watu 50 wenye bunduki wamevamia msikiti na kuwamwagia risasi waumini waliokua ndani na nje ya msikiti huo, na kuua watu 24. Tukio hilo limetokea alfajiri katika eneo la Dogon Dawa, jimbo la Kaduna, Nigeria. “Bado hatujajua ni nani wamehusika na mashambulizi haya” Kamanda wa Polisi, Olufemi Adenaike alisema.

“Dhumuni la shambulio hili linaonekana kuwa ni uporaji” Luteni Kanali Sani Usman alisema. Hata hivyo kiongozi wa asasi ya haki za binaadamu, Civil Rights Congress, Shehu Sani amesema inaonekana mashambulizi hayo yalikua kati ya wafugaji wa Kiislam na wakulima wa Kiislam. Kumekua na uhasama na mashambuliano kati ya makundi hayo mawili kuhusu haki za ardhi, ingawa mashambulizi hayo huwa si makubwa kufikia kiwango hiki.
Jimbo la Kaduna, ambalo lina uhasama wa kidini, limekumbwa na wimbi la mashambulizi ya kidini katika miezi ya hivi karibuni.

Mabomu ya kujitoa mhanga (suicide bombing) katika makanisa matatu mwezi juni yaliyofanywa na Boko Haram yalisababisha mashambulizi ya kulipa kisasi yaliyofanywa na Wakristo ambapo waliuwa dazeni kadhaa za majirani zao wa Kiislam, na kuichoma moto miili yao.
Waislamu nao wakaanzisha makundi yao na kuua Wakristo kadhaa.
msikiti-washambuliwa-nigeria-watu-24-wafariki.jpg

Next Tanzania Tuendako huko... Asante Jk kwa Kutuonesha Njia
Source
 
Ukiona mwenzio ananyolewa,......... Mungu aepushie mbali dhahama hili jamani.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
sio wakiristo hao,ukiristo ni dini ya amani.Labda ni Boko Haram
 
Umenishtua sana, hii ilifaa uiweke Jukwaa la kimataifa
 
Watu wenye bunduki wamwaga risasi msikitini na kuua watu 24 Nigeria

Takriban watu 50 wenye bunduki wamevamia msikiti na kuwamwagia risasi waumini waliokua ndani na nje ya msikiti huo, na kuua watu 24. Tukio hilo limetokea alfajiri katika eneo la Dogon Dawa, jimbo la Kaduna, Nigeria. "Bado hatujajua ni nani wamehusika na mashambulizi haya" Kamanda wa Polisi, Olufemi Adenaike alisema.

"Dhumuni la shambulio hili linaonekana kuwa ni uporaji" Luteni Kanali Sani Usman alisema. Hata hivyo kiongozi wa asasi ya haki za binaadamu, Civil Rights Congress, Shehu Sani amesema inaonekana mashambulizi hayo yalikua kati ya wafugaji wa Kiislam na wakulima wa Kiislam. Kumekua na uhasama na mashambuliano kati ya makundi hayo mawili kuhusu haki za ardhi, ingawa mashambulizi hayo huwa si makubwa kufikia kiwango hiki.
Jimbo la Kaduna, ambalo lina uhasama wa kidini, limekumbwa na wimbi la mashambulizi ya kidini katika miezi ya hivi karibuni.

Mabomu ya kujitoa mhanga (suicide bombing) katika makanisa matatu mwezi juni yaliyofanywa na Boko Haram yalisababisha mashambulizi ya kulipa kisasi yaliyofanywa na Wakristo ambapo waliuwa dazeni kadhaa za majirani zao wa Kiislam, na kuichoma moto miili yao.
Waislamu nao wakaanzisha makundi yao na kuua Wakristo kadhaa.
msikiti-washambuliwa-nigeria-watu-24-wafariki.jpg

Hapo kwenye blue,Dhambi ya ubaguzi imeanza kuwatafuna.Hapa TZ kuna Bakwata type na Ant-bakwata,dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya binadamu! ukianza kula hutaacha kamwe.
 
dah....nina mpango wa kutafuta mguu wa kuku sasa,waislam wanapenda tufike kwenye link hii hapo chini

cry freetown - YouTube
Mkuu kuna Statement huyo mpiga picha kasema Karibu watu wengi wa Hiyo Nchi hawajawahi kuona Kitu kiitwacho Diamond... ni Sawa na hapa kwetu tu Gas Dhahabu na Diamond na sasa hiyo Uranium wengi hatutokuja kuziona
 
kwako kunafukuta, unashadadia kwa jirani wanavyosutana?
 
Huenda hao ni Boko Haram kutafuta kukuza mgogoro ili waue kisawasawa. Hili likitokea Tanzania wengi wa wanaoshabikia watakufa hata bila ya tobo la risasi. Kwani watauawa na umaskini hata kabla ya bunduki. Inasikitisha kuona kuwa hili likitokea watakaolianzisha ndiyo watakuwa wahanga wa kwanza kabla ya wale wanaowalenga kwa upogo na ujinga wao.
 
Kule watu hawataki utani, ukimwaga ugali wanamwaga mboga!!!!
 
Redio Tanzania nao wameriport jioni hii kuwa kuna kanisa limechomwa moto huko kigoma. Achana na Nigeria, hapa Tz mbegu mnazopanda zinazaa mavuno ya chuki. JK yupo arabuni anachukua maoni ya uanzishwaji wa mahakama ya khadhi. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Jk kaenda kuchukua mshiko wake kwa Sultani au wewe hujui Waarabu wanarejea tena Znz Kutawala...
 
[h=2]Watu wenye bunduki wamwaga risasi msikitini na kuua watu 24 Nigeria[/h]
Takriban watu 50 wenye bunduki wamevamia msikiti na kuwamwagia risasi waumini waliokua ndani na nje ya msikiti huo, na kuua watu 24. Tukio hilo limetokea alfajiri katika eneo la Dogon Dawa, jimbo la Kaduna, Nigeria. “Bado hatujajua ni nani wamehusika na mashambulizi haya” Kamanda wa Polisi, Olufemi Adenaike alisema.

“Dhumuni la shambulio hili linaonekana kuwa ni uporaji” Luteni Kanali Sani Usman alisema. Hata hivyo kiongozi wa asasi ya haki za binaadamu, Civil Rights Congress, Shehu Sani amesema inaonekana mashambulizi hayo yalikua kati ya wafugaji wa Kiislam na wakulima wa Kiislam. Kumekua na uhasama na mashambuliano kati ya makundi hayo mawili kuhusu haki za ardhi, ingawa mashambulizi hayo huwa si makubwa kufikia kiwango hiki.
Jimbo la Kaduna, ambalo lina uhasama wa kidini, limekumbwa na wimbi la mashambulizi ya kidini katika miezi ya hivi karibuni.

Mabomu ya kujitoa mhanga (suicide bombing) katika makanisa matatu mwezi juni yaliyofanywa na Boko Haram yalisababisha mashambulizi ya kulipa kisasi yaliyofanywa na Wakristo ambapo waliuwa dazeni kadhaa za majirani zao wa Kiislam, na kuichoma moto miili yao.
Waislamu nao wakaanzisha makundi yao na kuua Wakristo kadhaa.
msikiti-washambuliwa-nigeria-watu-24-wafariki.jpg

Next Tanzania Tuendako huko... Asante Jk kwa Kutuonesha Njia
Source
Waindi wana miungu mingi tu lakini usikii wakiuana,waislam wana madheebu mawili tu,lakini wenyewe kwa wenyewe wanakatana mikono,shongo na sahizi wanauana kwa AK 47. Wakristo wana madheebu yanafika 100+ watu wa Mbeya mpoo? Lakini atujawai ata kutukanana!Enyi Waislam,wapi Ngaliba,Mwaipopo?Ponda? Jifikirieni.Mwenyezi Mungu awasamehee
 
Back
Top Bottom