Tetesi: 10% Chanzo cha Makonda kumharibia Sandaland

Wewe ndiye gundu. Watanzania wana msapoti Makonda. Sandalandi ana ujinga ujinga. Ilikuwaje afanye press?? Je kuna kipengele cha kuitisha press??? Idiot kabisa. Na bado. TRA watamtembelea ili kuona mapato yake na kodi
 
Kisa tu 10%
 
Bashite NTU YA DILI sana ,kiboko yake GSM alitaka kumpasua FUVU kwa DILI ya Nyumba Ursino Street.
 
Kisa tu 10%
Sandalandi jinga kubwa. Alitakiwa atambue hilo. Pia unaangalia upepo wewe kaambiwa hakikisha unafanya partnership na watu wanje etc. ila hap wanasheria wake wajinga mno mno, mikataba mingi huwa ina vipengele kibao. Ni wazungu tu ndiyo huchungulia mikataba in details. Ila hawa wahuni wa bongo hamna kitu
 
Jmaa kaingia juzi hapa mkataba ulikuwa tayari watu wameshasaini .Jamaa , alitaka vile viposho vya mchakato wa kutoa tender ili apige pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…