Kottler Masoko
Senior Member
- May 28, 2010
- 193
- 28
Siemens C35....A legend!
mambo ya copy paste haya.. iphone 5, LG Nexus 4, Samsung Galaxy SIII, Nokia Lumia 920, HTC DROID DNA... mbona hizi ni more superior touchscreen phones kuliko ulizotaja, AND zimetoka mwaka huu. au ulikuwa unatumia criteria ipi? hmm?
duh, sikuona, ndo umenishtua.. kumbe..mkuu hii sired ni toka mwezi april ipo hapa
u kidding that is totally bias, haiwezekani hio bb bold ipite lumia zote hahaha, dah then mpinzani mkuu wa iphone 4s nokia n9 pia hayumo. Kajipange uje tena na list yako
Mkuu Nokia Lumia 920, Samsung galaxy s3 hizo zote zimetoka mwisho wa mwaka huu na ndio kwanza zipo sokoni hata maeneo mengine bado hazijafika hivyo nakubaliana na hiyo list.
Young Master, yeye kasema best touch-screen phones for 2012 mimi nimepoint out the best nazojua za 2012. makosa yangu tena?? angeweka *question mark* mwisho wa heading yake labda ningemwelewa, AU angesubiri end of year ndo atangaze AU angesema for the first half/ quarter of the year. kuna movie moja niliona mwezi wa nane, kwa blog yangu niliandika (possibly the worst movie of the year??) becoz nilijua kuna uwezekano something worse inaweza tokea kabla mwisho wa mwaka, na sikutaka what wazungu wanasema *egg on my face*