Hata Rwanda haimo? huu utani.
Rwanda ingetakiwa iwe namba mbili aiseeHata Rwanda haimo? huu utani.
Hebu toa sababu za kuiweka Rwanda
Wanyarwanda Wazuri Wewe, hawana mpinzani Africa, nilipofungua uzi huu nilijua nitaikuta Rwanda ikiwa nafasi ya kwanza.
Wanyarwanda Wazuri Wewe, hawana mpinzani Africa, nilipofungua uzi huu nilijua nitaikuta Rwanda ikiwa nafasi ya kwanza.
Nimepuuza hii list nilipoona Kenya!