$ 1 = Tshs 1800 (02/11/2011)


Mkuu umenena vyema. lakini hapo kwenye wekundu ni always.
 
hyo rate ni sawa kbs..ndo clearing tunavyochajiwa bandarini specialy ticts,mana ticts collector wao ni citybank.na hawa citybank ni commercial bank ambayo iko chini ya BOT,ambapo rate ya
BOT ni ndogo ukilinganisha na hz commercial bank,sijajuwa hapa uwepo wa BOT katika kucontrol hz commercial bank special kwenye hz xrate,labda mnisaidie ufafanuzi
 
hii ndio miaka 50 ya uhuru ni jambo la kujivunia kwa serekali ya awamu ya nne imewaza kushusha dhamani ya shilingi. tehetehe,,,,,,,,,,
 
This is a quote from a report Filed to Human rights commission



''The mining operations carried out at
Nyabigena and Nyabirama by EAGM/Afrika
Mashariki do not contribute meaningfully
or at all to the local and national economy
of Tanzania. Whereas EAGM/Afrika
Mashariki may have repatriated, and
continue to repatriate, millions of dollars
outside the country in the form of
profits or dividends from exports of the
gold mined at Nyabigena and Nyabirama,
they have contributed only minimally, if
at all, to the national of Tanzaniaandthe
local economy of the two areas and
Tarime District by way of taxes,
employment creation and social services.
Thus by their actions or omission the
parties referred to in herein above
have undermined the national and local poverty alleviation goals''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…