Mwambie dear,hujambo lakini ?
Hamna cha three wala four balla naona mna-confuse na hizi pool mnazocheza 24hrs hahaha! wataalamu wa afya watatujuza zaidi.nijuavyo mimi hawa wenye moja huwa ingine imepanda tumboni na isiposhushwa kwa upasuaji ina madhara.Pia kuna wengine pamoja na mbili za kawaida kunakuwa na uvimbe kama gololi kubwa unayoweza kuhisi ni ya tatu,Hiyo ya sijui 4 na kuendelea sijawahi kusikia.