Unafikiri? Mkuu kumbuka mawimbi yalikuwa kwenye spidi kali sana kwa hiyo ukiyaona kwa mbele lazima udhani hivyo. kaangalie viwimbi vidogo tu hapo coco beach.Mkuu I am a scientist na nafikiri hii photo si ya ukeli.
Ili niamini basi nijibu yafuatayo
Hilo maas nafikiri ni DUST STORM ambazo zinatokea kule Marekani hasa wakati wa kiangazi
- cheki vizuri outline ya hiyo mass, outline yake haiko firm, yaani iko vapourous
- hiyo mass yote ni cloudy
In the same camera there were pictures of nude women. Blah Blah Blah.............
Umeanza vibaya. Siku hizi hamna mtu asieamini kuwa we were created. And with a special purpose.
Uwe umesoma theoretical physics kama Big bang, String theory or whatever. All calculations and mathematics lead to a special factor. Some call it dark matter, some cosmic dust. Lakini wana maanisha The creator.
Nothing happens by chance. Everything is governed by his will. AAAHH some call this phenomenon GOD. But all is the same thing.
Tatizo kubwa la mtu aliyepost hii picha ni kufikiri wote si wanasayansi.Unafikiri? Mkuu kumbuka mawimbi yalikuwa kwenye spidi kali sana kwa hiyo ukiyaona kwa mbele lazima udhani hivyo. kaangalie viwimbi vidogo tu hapo coco beach.
Mmmh! Ama kweli Mungu yupo!
karibu tufungwe kamba hapa.......hizo nyumba aghalabu kuzipata indonesia...hii ni sandstorm ya australia
aventure technology photo gallery