M Milindi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2009 Posts 1,478 Reaction score 757 Jun 11, 2017 #1 Linajifanya lipo nyarugusu ili likupe kazi ya kusimamia wachina mpige hela. Kuwa makini na Namba hiyo
Linajifanya lipo nyarugusu ili likupe kazi ya kusimamia wachina mpige hela. Kuwa makini na Namba hiyo
Galapagosi JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 2,848 Reaction score 2,640 Jun 11, 2017 #2 Analeta utapeli mjini.
South JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 3,513 Reaction score 5,144 Jun 11, 2017 #3 Hauna namba zake zingine?
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 13,122 Reaction score 12,149 Jun 11, 2017 #4 Milindi said: Linajifanya lipo nyarugusu ili likupe kazi ya kusimamia wachina mpige hela. Kuwa makini na Namba hiyo Click to expand... Mbona unweka namba zangu kwenye mitandao?
Milindi said: Linajifanya lipo nyarugusu ili likupe kazi ya kusimamia wachina mpige hela. Kuwa makini na Namba hiyo Click to expand... Mbona unweka namba zangu kwenye mitandao?
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,333 Reaction score 72,657 Jun 11, 2017 #5 Hatari sana, usawa mgumu hadi watu wanakuwa matapeli...Nitakuwa makini asante kwa angalizo
M Milindi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2009 Posts 1,478 Reaction score 757 Jun 11, 2017 Thread starter #6 Sio mtandaoni hata kwenye vyombo husika tayari!
Ngoniboysinai JF-Expert Member Joined Aug 6, 2013 Posts 590 Reaction score 482 Jun 11, 2017 #7 Nami nataka nimtapeli asante kwa hii no
DearCalen Member Joined Jun 9, 2017 Posts 91 Reaction score 51 Jun 11, 2017 #8 wapo weng kma hao yan mpka wanajfnya wahudum wa baadh ya mitandao et umejshndia pesa