Wewe acha hizo Bwana, haiwezekani namba ikawa na + na bado ikawa na 00. Either iwe +254 au 00254 lakini eti namba ianze na +00254 ni kituko cha mwaka. Halafu hiyo namba umeifanyia editing mwanzo haikuwa hivyo.

Tiba,, iyo namba wakati inaita kwa simu yangu niliiangali mara tatu na imenishangaza sana km unavyoshangaa wewe hapa, hasa kwa kuanza na +00 najua inayofuata ni code ya kenya, na ndiyo maana nikaileta humu. Hata app yangu ya true caller id umedetect unknown number.