Free zone ni project ambayo kwa wale wanaopenda pesa madaraka wanakurupuka ndio haya tumeona ngorongoro kwa waarabu.
Free zone nahisi na bagamoyo imeshaanza.
Kinacho fanywa kwenye project hizi wanakuwa na bandari yao au maeneo ambayo yana viwanda wavyo ndani ya eneo na hakuna wa kuwagusa...