Mbunge wa Viti Maalumu, Thea Medard Ntara amesema Serikali inatakiwa kuelekeza nguvu katika kudhibiti matumizi ya Dawa za P2 kwa maelezo kuwa zimekuwa na athari kubwa katika kizazi cha Wanaotumia ikiwemo kupata saratani ya uzazi, ujauzito kutoka, kutokwa na damu nyingi au kidogo.
Amesema hayo...