Rais Samia anafanya ziara mkoani Simiyu Juni 16, 2025
Halmashauri zote zijitahidi katika makusanyo mapato, kwa upande wa TRA wanajitahidi sana lakini kwa Halmashauri mnakula nyingi mnaleta kidogo, niwaombe sana mjizatiti katika makusanyo ili maendeleo yaendele kama tulivyoyapeleka katika miaka...