Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili Muscat nchini Oman kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya Siku tatu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Mwenyeji wake Kiongozi Mkuu wa Taifa la Omani Sultan Haitham bin Tariq Al Said wakati Wimbo wa Taifa wa...
Tutofautishe kati ya work visit na State visit!!
State visit (safari ya kitaifa) lazima ukaribishwe na mkuu wa nchi!! Unapewa heshima zaidi na mapokezi yake yanafanywa na mkuu wa nchi, inaweza kuambatana na kupigiwa mizinga 21 na mwisho wa siku hupewa zawadi kama ukumbusho wa ziara hiyo ya...
Rais wa Tanzania, Samia anatarajia kuelekea Nchini Ufaransa na baadaye Ubelgiji kikazi. Akiwa Ufaransa, atahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu Rasilimali Bahari Duniani.
Aidha, atashuhudia utiaji Saini baina ya Serikali ya Tanzania na Ufaransa katika sekta za...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 28/01/2022 Rais Samia amefanya ziara ya kikazi ya siku moja Nchini Msumbiji. Katika ziara hiyo Rais Samia amepokelewa na mwenyeji wake Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi. Lengo la Ziara hiyo ni kujitambulisha kwa viongozi wenzake wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini...